[h=3][/h]
Managing Director of National Bank of Commerce (NBC), Mr. Lawrence Mafuru.
KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
Lakini nakumbuka Mh.Rais wakati anataja mabadiliko ya baraza lake jipya la mawaziri hili la mwisho alisema kuwa "kama kuwajibika kulikopelekewa na mawaziri hao kumesababishwa na watu fulani au shirika fulani basi nao lazima watawajibishwa"
Sasa yawezekana fagio hili linahusika na utekelezwaji wa ile ahadi!!
Mmiliki mkuu wa NBC ni ABSSA na sio serikali yako.
Hayo ni maswala ya ndani kwa ndani wacha yachunguzwe na involvement yake halafu tujue kulikoni maana wazungu hawanaga majungu.
mza mara nyingi hawa vipanga sio wazuri ktk leadership kwani hata ex ceo wa barclays akiwa udsm alikuwa best student kwa kupata first class yenye gpa ya above 4 points lakini pale bank alikuwa mwizi tu na siajabu hata dogo mafuru naye alisahau kuwa cheo ni dhamana na sio vinginevyo.Huyu jamaa nimesoma naye shule pale IFM ni one of the best properties katika bongo hii. Hope hajaharibu chochote.
July 20th 2012
The Board of Directors of the National Bank of Commerce (NBC) Limited announced that Mr. Lawrence Mafuru, the Managing Director of National Bank of Commerce has been requested and accepted to go on leave in order to allow investigations into some irregularities allegedly perpetrated at the Bank.
Chairman of the NBC Board of Directors Dr. Mussa J Assad said, "The Board of Directors of NBC has received allegations of some irregularities against NBC Executive Management. NBC is a reputable and trusted bank, for best practice and good governance a proper investigation has been initiated on this matter. The Board of Directors has therefore decided to put Mr. Lawrence Mafuru, the NBC Managing Director, on leave during the investigation period. This is expected to be completed shortly."
He further added, "Please note, there is no presumption of guilt on Mr Mafuru or any other executive. Let me to assure you, that we have a very professional leadership team which operates and executes their duties with the highest level of integrity, with the sole purpose of serving our customers, both internal and external and meeting business objectives."
Lawrence Mafuru said: "I am very supportive of the investigation into the allegations that have been raised against me by a whistle blower. My conscience is very clear and I hope that after this investigation our customers, shareholders, staff and the public at large will prove that the bank is managed and run in accordance with the best corporate governance standards".
SOURCE: HABARI LEO
Lakini nakumbuka Mh.Rais wakati anataja mabadiliko ya baraza lake jipya la mawaziri hili la mwisho alisema kuwa "kama kuwajibika kulikopelekewa na mawaziri hao kumesababishwa na watu fulani au shirika fulani basi nao lazima watawajibishwa"
Sasa yawezekana fagio hili linahusika na utekelezwaji wa ile ahadi!!
wazungu wa south africa ni wambeya wanamajungu kuliko black
Hivi kumbe walishamaliza kuuza zote hadi ile share ya serikali mkuu?We dhaifu,nani kakwambia NBC ni bank ya serikali?Kuna majuha wengi humu!