Mkurugenzi mtendaji wa NBC Lawrence Mafuru asimamishwa kazi

[h=3][/h]
Lawrence-Mafuru.jpg

Managing Director of National Bank of Commerce (NBC), Mr. Lawrence Mafuru.

KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
 
kuna mambo yalikuwa yanafukuta ndani ya NBC moja wapo ni la mikopo ya wafanyakazi. marejesho mengi hayakupelekwa kunakohusika watu walikuwa wanalamba pesa juu kwa juu mpaka sasa NBC walishasitisha mikopo kwa wafanyakazi. Let us hope si mmoja wa wahusika wakuu
 
poleni sana wale wote aliowaeba kama hukujituma aisee utajuuta kuijua nbc..
 
Tusubirie uchunguzi great thinkers kwani moyoni kwa mtu mbali. Ingawa wengine wanasema ni mwaminifu au na wengine wanatia shaka nadhani la msingi ni kuvuta subira kidogo ili kujua mbivu na mbichi.
 
Ingekuwa poa sana kama DHAIFU na timu yake yote ya MADHAIFU wangeweza kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa ufisadi mkubwa unaoendelea ndani ya Serikali DHAIFU.
 
Lakini nakumbuka Mh.Rais wakati anataja mabadiliko ya baraza lake jipya la mawaziri hili la mwisho alisema kuwa "kama kuwajibika kulikopelekewa na mawaziri hao kumesababishwa na watu fulani au shirika fulani basi nao lazima watawajibishwa"
Sasa yawezekana fagio hili linahusika na utekelezwaji wa ile ahadi!!


Tusibiri uchunguzi ulete taarifa kamili ndipo tujue kilicholetwa na whistleblower kama ni cha kweli au la. Vinginevyo tutatumia hisia zetu kuhukumu bila ya kuwa na uhakika.
 
Chairman of the NBC Board of Directors Dr. Mussa J Assad,...
Huyu mzee yupo huku, alikuwa chairman wa NBAA. Mzee kichwa cha accounting udsm. Bado ni head of account department - udsm? Alikuwa akiingi lecture room (kule theater rooms) anashusha materials, ukiwa kichwa maji unatoka kapa. Bonge la lecturer.
 
kwanini wabadhirifu wote ni watu wa jamii moja? Nina wasiwasi na viongozi wa jamii hii kama wanatimiza wajibu wao.
 
Huyu jamaa nimesoma naye shule pale IFM ni one of the best properties katika bongo hii. Hope hajaharibu chochote.
mza mara nyingi hawa vipanga sio wazuri ktk leadership kwani hata ex ceo wa barclays akiwa udsm alikuwa best student kwa kupata first class yenye gpa ya above 4 points lakini pale bank alikuwa mwizi tu na siajabu hata dogo mafuru naye alisahau kuwa cheo ni dhamana na sio vinginevyo.
 
July 20th 2012


The Board of Directors of the National Bank of Commerce (NBC) Limited announced that Mr. Lawrence Mafuru, the Managing Director of National Bank of Commerce has been requested and accepted to go on leave in order to allow investigations into some irregularities allegedly perpetrated at the Bank.

Chairman of the NBC Board of Directors Dr. Mussa J Assad said, "The Board of Directors of NBC has received allegations of some irregularities against NBC Executive Management. NBC is a reputable and trusted bank, for best practice and good governance a proper investigation has been initiated on this matter. The Board of Directors has therefore decided to put Mr. Lawrence Mafuru, the NBC Managing Director, on leave during the investigation period. This is expected to be completed shortly."

He further added, "Please note, there is no presumption of guilt on Mr Mafuru or any other executive. Let me to assure you, that we have a very professional leadership team which operates and executes their duties with the highest level of integrity, with the sole purpose of serving our customers, both internal and external and meeting business objectives."

Lawrence Mafuru said: "I am very supportive of the investigation into the allegations that have been raised against me by a whistle blower. My conscience is very clear and I hope that after this investigation our customers, shareholders, staff and the public at large will prove that the bank is managed and run in accordance with the best corporate governance standards".

16511139-2664007681373218889

SOURCE: HABARI LEO

Duh, siku hizi kumbe Habari Leo linaandikwa kwa Kiingereza!?
 
Lakini nakumbuka Mh.Rais wakati anataja mabadiliko ya baraza lake jipya la mawaziri hili la mwisho alisema kuwa "kama kuwajibika kulikopelekewa na mawaziri hao kumesababishwa na watu fulani au shirika fulani basi nao lazima watawajibishwa"
Sasa yawezekana fagio hili linahusika na utekelezwaji wa ile ahadi!!

We dhaifu,nani kakwambia NBC ni bank ya serikali?Kuna majuha wengi humu!
 
wazungu wa south africa ni wambeya wanamajungu kuliko black


Jana nilikuwa mwanasheria wa labour law. Akanionyesha makampuni yanaongoza kawa unyanyasaji wa wafanyakazi tanzania. Makampuni yanayomilikiwa/kuongozwa na 1.wachina. 2. Wahindi 3.makaburu (wazungu toka south africa) 4.waarabu
 
Subira yavuta kheri

Tusubiri uchunguzi.

Lakini kwa wazoefu wa jiji la bandari

salama filamu hili limeisha kamilika

kinachoendelea ni CRISIS management.

Kumbukeni kazi ya Public Relations au Corporate affairs ni nini.

Rudi nyuma utazame Makampuni makubwa yanapokumbwa na kashfa huja na

mikakati ya kulinda heshima na jina hili biashara isiharibike.

Kumbukeni

1. BP na lile soo la Gulf of Mexico,

2. Exxon Mobil na lile soo lao la Exxon Valdez ilipotapika tani za mafuta baharini

3. Toyota na lile soo lao la accelerator

4. Goodyear na yale matairi yao waliyofunga magari ya Ford USA yaliyokuwa yakipasuka uendapo kasi

5. Norconsult na kashfa ya mlungula Tanzania.

6. Olympus na soo la mahesabu Japani

7. BARCo na soo la madawa miaka ya 80-90

Wenzetu walijifunza na kuanzisha vitengo vya kuhakikisha

biashara haiharibiki punde kunapotokea madudu ndani ya kampuni.

Angalia ufundi na ustadi wa lugha inayotumiwa kufikisha ujumbe.

Ukimaliza kupitia mikasa hapo juu, utaelewa kwa nini na sema

filamu hili limeishakamilika.
.
 
Back
Top Bottom