Mkurugenzi mtendaji wa NBC Lawrence Mafuru asimamishwa kazi

Wabongo no wonder hatuaminiki kwenye mapost makubwa makubwa
Ntashukuru kama atakuwa hajahusika na izo tuhuma maana kuna watu wanakutumia kama role model
Utakuwa umewaangusha big time!
 
Barua imeishia Kati ndugu, fanya makaratee tupate page two basi, hiyo link inanigomea na simu tochi
 
Lawrence Mafuru ni mmoja ya vijana wenye uwezo mkubwa wa kiuongozi lakini kubwa zaidi ni mwaminifu sana,nafahamu na natambua kwamba kutakuwa na mchezo mchafu unafanywa dhidi yake lakini naaamini Mungu atakuwa upande wake na atarejea akiwa stronger zaidi na kusaidia kufanya kile ambacho waswahili wengi hawawezi ku-run benki kubwa ya saizi ya NBC.

Kitendo cha ABSA kukubali inadhihirisha wewe ni mtu wa kiwango gani na ninaamini you will get through this.
Nakuombea ushinde mtihani huu.
 
Jamaaa jembe.. majungu nchi hii ukiwa kichwa tu, wanakumaind sisi wabongo? atakua alikataa kukopa SIRI KALI mishahara ya walimu na watumishi wa UMMA, sijui Mchechu nae lini?
 
Nina jamaa yangu anafanya kazi kwenye kampuni moja inayo-entertain hizi mambo za whistleblowing ambazo kwetu kibongobongo hazichukuliwi kwa mtazao uliokusudiwa zetu nyingi ni majungu na personal attacks.Huyu jamaa yangu alipita kwa nyumba ndogo ya colleague jamaa akamuwasha kwenye hiyo kitu leo hii ni miezi sita bado anafanyiwa uchunguzi na mshahara wanamlipa.Nia yao ni kumtimua kwa misingi ya kuwa Incompatible ila sababu za msingi hawana mpaka sasa.
 
Kuna mtu anaitwa KIBODYA pale NBC ni corrupt sana [ anauza kesi za benki] amepona?

Acha Umbeya- ulikuwa unasubiri hadi wampumzishe Mafuru ndio useme!? Pili unamfahamu kweli huyo Kibodya- ananata mwanangu sio mtu wa kupokea vipesa, ameanza mbali!
 
Oh No; This is the young GUN and he has been consistently acting like OUR DEAR LEADERS? or he has been

shown the way by our dear leaders how to become GREEDY ???
 
Lakini nakumbuka Mh.Rais wakati anataja mabadiliko ya baraza lake jipya la mawaziri hili la mwisho alisema kuwa "kama kuwajibika kulikopelekewa na mawaziri hao kumesababishwa na watu fulani au shirika fulani basi nao lazima watawajibishwa"
Sasa yawezekana fagio hili linahusika na utekelezwaji wa ile ahadi!!
 
Siasa hadi kwenye mabenk? BOT imewashidwa? waacheni watu wafanye kazi,
 
Lakini nakumbuka Mh.Rais wakati anataja mabadiliko ya baraza lake jipya la mawaziri hili la mwisho alisema kuwa "kama kuwajibika kulikopelekewa na mawaziri hao kumesababishwa na watu fulani au shirika fulani basi nao lazima watawajibishwa"
Sasa yawezekana fagio hili linahusika na utekelezwaji wa ile ahadi!!

Mmiliki mkuu wa NBC ni ABSSA na sio serikali yako.

Hayo ni maswala ya ndani kwa ndani wacha yachunguzwe na involvement yake halafu tujue kulikoni maana wazungu hawanaga majungu.
 
Back
Top Bottom