OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Leo nilikuwa kijiweni katika story nikasikia BRELA wamepata Mkurugenzi mpya baada ya yule aliyekuwepo kustaafu, sikuweza kupata data kamili licha ya kuambulia jina lake moja la Frank.
Mwenye full data amwage humu, na Cv yake tafadhali li tuone kama anaingilika manake si unajua mwakani uchaguzi mkuu tukaanzishe Kagoda, Deep Green nyingine.
Mwenye full data amwage humu, na Cv yake tafadhali li tuone kama anaingilika manake si unajua mwakani uchaguzi mkuu tukaanzishe Kagoda, Deep Green nyingine.