THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,922
- 13,494
Mkurugenz Mkuu Mteule wa Nssf Profesa Godius Kyaharara...
Awali ya yote nichukue fursa hii kukupongeza kwa kuchaguliwa kuongoza Shirika hilo kubwa na linaloongoza nchini na Africa mashariki na kati kwa ujumla.
Pongezi zangu zinaambatana na kukutahadharisha juu ya Mkurugenz wa operation wa Nssf bwana Cresentius Magori na Mkuu wa habari na kitengo cha mahusiano ya umma bi Eunice Chiume...hawa sio watu wazuri hata kidogo katika utendaji wako na nakutahadharisha ukae nao kwa tahadhari...
1.Magori na Eenice Chiume wanatumia gazeti la Dira kutoa siri za shirika la umma kinafiki na uzushi kwa kusema ndan ya shirika hilo kuna ufisadi na ubadhirifu huku wakidhamiria kuharibu image ya DG alieondolewa na ofcourse wamefanikiwa kwa hilo kwan walishajenga hali ya taharuki na sintofaham ambayo hata hivyo wamekosa kuwa nayo ushahid..
Magori na Eunice Chiume wanasahau kuwa wao ndiyo viungo vikuu katika uendeshaji wa shirika hilo lkn pamoja na yote wameona potelea mbali bora tuh wakate tawi ambalo wao wawili na shirika wamelikalia ili mradi tuh wapate kile wanachostahili nacho ni kuongoza shirika hilo...
Zipo taarifa za kutosha namna jins ambavyo Magori alikua anahaha kuhakikisha anamchafua Dr Ramadhan Dau na huku yeye akihakikisha kuwa anakuwa DG Mpya wa Nssf kwa hali yeyote ikibid hata kutumia media na ushirikina..
Kutokana na kufeli kwake katika lengo hilo na Mh Rais magufuli kuamua kukuteua wewe Profesa kuwa mkurugenz mkuu tambua kabisa kuwa Magori hatokuwa na furaha na wewe na atafanya kila awezalo kukutengenezea fitna kama alivyofanya kwa Mkurugenz aliekuachia hiko kijiti...kwaiyo kuwa nae makini...
2.Magori na Eunice Chiume ni miongoni mwa watu ambao kwa kias kikubwa wamejenga uungu mtu na kufanya matumiz ya pesa hovyo ndan ya shirika hilo pasi na hata kuangalia tija na future ya shirika kwa mfano upo ushahid wa kutosha wa magori kama mkurugenz wa operation kuhusika katika kuhamasisha kutolewa kwa mikopo kwa kupitia mfuko huo wa Nssf na kwa kushirikiana na Kilimanjaro Cooperative Bank Limited KCBL iliyopo moshi kwa uzushi na ulaghai kias cha kufikia kuwasumbua wakazi wa kanda hiyo ya kaskazin na mwishowe kutofanikisha kwa suala hilo...
Ni Yeye Magori kama mkurugenz wa operation aliliasisi jambo hilo na kuwatapeli watanzania maskin pesa zao ambazo taarifa zinasema kuwa ni alihongwa ili alipigie chapuo suala hilo...hili jambo siyo la kificho kwan .Lilirushwa live hata katika vyombo vya habari last year vyombo kama I.T.V walishiriki kikamilifu katika kuonesha tukio hilo la uzinduz wa vicoba vya Nssf na KCBL kitu ambacho hadi hiv sasa wanachama hao na raia maskin hawapewa mkopo huo na kinachoendelea ni kuyumbishwa na ahad hewa...
Katika kupigania haki yao wananchi wa moshi walifikia hadi hatua ya kwenda kwa mkurugenz wa manispaa ya moshi kumshitaki magori Na Nssf pamoja na KCBl katika suala hili na bado shauri hilo lipo moto kwa kutopatikana suluhu yake...
3.Magori ni mtu anaefahamika kwa lobying na kujipendekeza kwa wanasiasa mbali mbali kwan zipo taarifa za uhusiano usio wa kawaida baina ya Naibu spika bi Tulia Ackson na Magori ambao unatia shaka na uhusiano huo ulishika moto kipind kile ambacho Magori na Tulia Ackson wakiwa wajumbe wa bodi ya TPA ambayo ilivunjwa na Mh Rais magufuli kutokana na kashfa ya Ufisadi wa makontena hiv karibun...
Kutokana na Tabia yake hiyo upo uwezekano mkubwa wa yeye kutumia kipind hiki ambacho wewe utakua mgeni hapo shirikani kukushauri vibaya na kukupotosha na mwishowe ukaharibu majukum yako ambayo Mh Rais amekupatia...
Kwa Ufupi Magori na Eunice Chiume ni JIPU ndan ya Nssf na ni watu ambao unapaswa kukaa nao kwa tahadhari au ikibid tafuta timu yako ya kufanya nayo kazi lakin siyo hao watu wawili kwan ni watu wenye hulka ya ubinafsi...unafiki na wenye kupenda madaraka na uchu wa pesa...
Mwisho nizid kukupongeza na kukutakia kila la heri katika utendaji wako wa kazi kama DG wa Nssf...
Mungu akusimamie.