Mkurugenzi mkuu gaming board atumbuliwa kimya kimya

Mkurugenzi mkuu gaming board atumbuliwa kimya kimya

Nilimsikia Tarimba Abas akiwa na hicho cheo nikiwa darasa la tano. Mwanangu ameanza darasa la kwanza mwaka huu.
Tarimba ulisahaulika ama?
 
Nilimsikia Tarimba Abas akiwa na hicho cheo nikiwa darasa la tano. Mwanangu ameanza darasa la kwanza mwaka huu.
Tarimba ulisahaulika ama?
Ha ha ha! Hatutofautiani Mkuu. Tarimba yuko kwenye hicho cheo niko madarasa ya chini huko; jana nilikuwa nahangaika na first born wangu kuangalia matokeo yake ya FIV kwenye mtandao ndipo naye (Tarimba) tunaambiwa ameondolewa. Jamaa atakuwa amevunja rekodi katika nchi hii kudumu kwenye cheo kimoja kwa muda mrefu; kamzidi hata Mwl. Nyerere.
 
Back
Top Bottom