Mpunumpunyenye
Senior Member
- Dec 7, 2011
- 114
- 50
Taarifa za uhakika kuwa Mkurugenzi mkuu wa bodi ya bahati nasibu ya taifa bwana Abas tarimba amepigwa chini tangu wiki iliyopita na nafasi yake anakaimu mtu mwingine
PART II THE GAMING BOARD OF TANZANIA 4.-(1) There is established a Board to be known as the Gaming Board of Tanzania which shall – (a) be a body corporate; (b) have perpetual succession and a common seal; Establishment of the Gaming Board of Tanzania (c) in its corporate name be capable of suing and being sued; (d) be capable of purchasing or acquiring in any manner and alienating any movable or immovable property; (e) be capable of entering into any such contract as may be necessary or expedient for the performance of its functions. (2) The Board shall make procedures for the conduct of its business.Hivi bahati nasibu ya taifa ni chombo cha umma? Maana sielewi haya mambo ya kamari.
Dah. Basi miaka yote mimi nafahamu hii kitu ni ya Tarimba. Kweli kuna watu wana-fit mahali hata kama output ni zero. Ningekuwa na mamlaka hii kitu ni ya kufutilia mbali; haiyumkiniki Serikali kuendesha kamari. Wangeachia sekta binafsi ifanye hiyo kazi.PART II THE GAMING BOARD OF TANZANIA 4.-(1) There is established a Board to be known as the Gaming Board of Tanzania which shall ...
Huyo atakuwa yumo kwenye inner circle. Haiwezekani ahoji hivyo juzi leo Tarimba aliyedumu kwenye hiyo nafasi kwa miongo kadhaa aondolewe. Alihoji kwa namna ya kutupa taarifa kwamba soon yaliyotokea yangetokea....Haahaaa kuna member hapa alihoji hiki cheo kwa Tarimba ni cha kifalme?? Nadhani leo jioni aweza pata Serengeti 2 bariiidiii akisikia hii habari.
Mimi nilijua ni private kumbe ni umma?Hivi bahati nasibu ya taifa ni chombo cha umma? Maana sielewi haya mambo ya kamari.
Kuna hatari kubwa sana kuacha kamari iendeshwe holela.Dah. Basi miaka yote mimi nafahamu hii kitu ni ya Tarimba. Kweli kuna watu wana-fit mahali hata kama output ni zero. Ningekuwa na mamlaka hii kitu ni ya kufutilia mbali; haiyumkiniki Serikali kuendesha kamari. Wangeachia sekta binafsi ifanye hiyo kazi.
Moja ya majukumu yake ilikuwa pia ni kusimamia michezo yote ya kubahatisha nchi nzima, kamari zote.slot,table na za kubet.kolo kolo, degeruka nk.jamaa alikuwa kama mfalme kwenye hicho cheo.tangu alipoondoka Mohammed mussa mwanzoni mwa miaka ya 90, akashika dimba akiwaburuza wacheza kamariDah. Basi miaka yote mimi nafahamu hii kitu ni ya Tarimba. Kweli kuna watu wana-fit mahali hata kama output ni zero. Ningekuwa na mamlaka hii kitu ni ya kufutilia mbali; haiyumkiniki Serikali kuendesha kamari. Wangeachia sekta binafsi ifanye hiyo kazi.
Ndio hivyo kiongozi. Wadau humu wanasema ni chombo cha umma/serikali.Mimi nilijua ni private kumbe ni umma?
Nimekusoma. Sikujua coverage ni kubwa kihivyo tatizo ni neno "kamari". Kumbe hata "pata mchongo na voda" nayo ni kamari. Dunia ina siri nyingi.Kuna hatari kubwa sana kuacha kamari iendeshwe holela.
Kama ulikua hujui kazi kuu ya hilo shirika ni kusimamia kamari zinazochezeshwa koti nchini,ikiwemo kutabiri washindi wa mechi,shinda na pepsi,vizibo vya bia n.k.Bila hivyo wacheza kamari mngekuwa mnapigwa kila siku
Lakini wao pia wanasimamia...regulator.ni chombo muhimu ktk kudhibiti michezo hii haramu ya kamariDah. Basi miaka yote mimi nafahamu hii kitu ni ya Tarimba. Kweli kuna watu wana-fit mahali hata kama output ni zero. Ningekuwa na mamlaka hii kitu ni ya kufutilia mbali; haiyumkiniki Serikali kuendesha kamari. Wangeachia sekta binafsi ifanye hiyo kazi.
kitu chchote cha kucheza kwa kubahatisha ni kamari.na lazima mtu wa Tarimba awepo ili kusimamia gemu hadi mwisho.Nimekusoma. Sikujua coverage ni kubwa kihivyo tatizo ni neno "kamari". Kumbe hata "pata mchongo na voda" nayo ni kamari. Dunia ina siri nyingi.