Mkurugenzi Mbeya: Wafanyabiashara wanatumika tu!

NDOFU

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
656
Reaction score
145
Akiongea na waandishi wa habari mkurugenzi huyo amedai wafanyabiashara wanatumika tu kuna watu wapo nyuma ya hayo maandamano na vurugu! Wakati huo huo Kandoro amewapiga mkwara wanaoleta vurugu kuwa watakutana na mkono wa sheria.Watu zaidi ya 200 wamekamatwa huku watu 12 wakiwa wamejeruhiwa watano wakiwa wamejeruhiwa kwa risasi,Polisi wawili wamejeruhiwa pia!
 
arudishe hela za maji, ahame mbeya, ufisadi uishe ndo atasikiliwa. hawa watu wapumbavu wanadhania watu watakuwa wajinga siku zote
 
Akiongea na waandishi wa habari mkurugenzi huyo amedai wafanyabiashara wanatumika tu kuna watu wapo nyuma ya hayo maandamano na vurugu! Wakati huo huo Kandoro amewapiga mkwara wanaoleta vurugu kuwa watakutana na mkono wa sheria.Watu zaidi ya 200 wamekamatwa huku watu 12 wakiwa wamejeruhiwa watano wakiwa wamejeruhiwa kwa risasi,Polisi wawili wamejeruhiwa pia!

Na yeye huyo Mkurugenzi wa Manispaa Mbeya asema na yeye anatumika na nani!!
 
Polisi waendelee kutoa kipigo kikali na kuwakamata wale wote wanaofanya vurugu.nchi hii hatuwezi kuona inavurugwa na wanasiasa kwa uroho wao wa madaraka.Rais ni KIKWETE CDM wanapaswa kufaham hilo waache kuratibu vurugu hapa nchini za kumuondoa J.K madarakani.
 
naona unaingiza siku
 
Serikali ipo mbele sana kushitaki kama wananchi wanatumika, Lakini wananchi wakisema Polisi wanatumika na wanasiasa na mafisadi wanakaa kimya.

Wajue tu: Mkuki mtamu kwa nguruwe......................
 
Polisi waendelee kutoa kipigo kikali na kuwakamata wale wote wanaofanya vurugu.nchi hii hatuwezi kuona inavurugwa na wanasiasa kwa uroho wao wa madaraka.Rais ni KIKWETE CDM wanapaswa kufaham hilo waache kuratibu vurugu hapa nchini za kumuondoa J.K madarakani.
Endelea kujifurahisha basi mshauri akamate mafisadi na atekeleze azima yake ya maisha bora kwa kila MTZ
 
Polisi waendelee kutoa kipigo kikali na kuwakamata wale wote wanaofanya vurugu.nchi hii hatuwezi kuona inavurugwa na wanasiasa kwa uroho wao wa madaraka.Rais ni KIKWETE CDM wanapaswa kufaham hilo waache kuratibu vurugu hapa nchini za kumuondoa J.K madarakani.

Sasa hapo cdm wanakujaje mkuu? Kwani anayeongoza serikali ni nani? Maana kodi wanakusanya CCM na hao vijana hawakuwa hapo sababu ya cdm. Shughulikieni maswala nyeti ya wananchi maana nguvu inayokuja siyo ndogo, na si jeshi wala polisi wataoweza kuisimamisha.
 
Sikubaliani na wanaosema hao wamachinga walofanya vurugu wanatumika!!!! hakuna ukweli hata kidogo. Hizo ni mbinu za kupenyeza chuki zisizo na msingi!!!! tatizo la machinga kupambana na polisi halijaanza leo na wala halijaanzia mbeya: Kumbukumbu zinaonyesha tangu miaka ya sabini kuliwahi kutokea matukio ya kufanana na hiyo sehemu mbalimbali hapa nchini. Tafauti iliyopo hivi sasa ni kwamba kuna vyombo vya habari [hasa TV]vinavyoweza kuutarifu umma kwa haraka bila kuchuja maneno na matukio!!
 
kichwa boga sasa chadema wameingiaje au kazi yenu nikuipaisha cdm shem on u magambaaz
 
Inawezekana hao wanaowatumia wamachinga ndo waliwaahidi kuwapangia wamachinga maeneo ya biashara na baadae wakaamua kuwahamisha bila kuwapangia maeneo. Mkurugenzi afafnue vizuri...je hakukuwa na sakata la kuwahamisha wamachinga mbeya?...ilikuwakuwaje mpaka askari wakaanza kupiga mabomu ya machozi na baadae risasi za moto? Kama anajua wanatumika kwa nini wasiache kuwabugudhi wamachinga ili hao wanaowatumia wakose ajenda ya kuwatumia???....mwisho atuambie nani anayewatumia wamachinga hao.
 
Polisi waendelee kutoa kipigo kikali na kuwakamata wale wote wanaofanya vurugu.nchi hii hatuwezi kuona inavurugwa na wanasiasa kwa uroho wao wa madaraka.Rais ni KIKWETE CDM wanapaswa kufaham hilo waache kuratibu vurugu hapa nchini za kumuondoa J.K madarakani.

Mkuu Twahil,hv cdm wanaingiaje hapo? Kwani hayo maandamano yalikuwa yameandaliwa na cdm? Tunajua sote kuwa rais ni Jk na si vinginevyo,acha chuki za kijinga kwa cdm. Think big meen!
 
Polisi waendelee kutoa kipigo kikali na kuwakamata wale wote wanaofanya vurugu.nchi hii hatuwezi kuona inavurugwa na wanasiasa kwa uroho wao wa madaraka.Rais ni KIKWETE CDM wanapaswa kufaham hilo waache kuratibu vurugu hapa nchini za kumuondoa J.K madarakani.

mkuu sioni uhusiano wowote kati ya wamachinga kudai haki zao na cdm..kufikiri ivo tutakuwa hatuna mapenzi na taifa letu kama kila tatizo wananchi wakidai tunasema ni cdm badala ya kutafuta key solution yatatukuta mabaya zaidi.. Kunyosha alama ya v sio chadema hata ccm wakishinda ni haki yao kunyosha hiyo alama ya ushindi mi nadhani chama chetu kiwe Tanzania kabla ya hivi vyama ambavyo tutatumika kama ngazi kuwapandisha watu juu.
 
Akiongea na waandishi wa habari mkurugenzi huyo amedai wafanyabiashara wanatumika tu kuna watu wapo nyuma ya hayo maandamano na vurugu! Wakati huo huo Kandoro amewapiga mkwara wanaoleta vurugu kuwa watakutana na mkono wa sheria.Watu zaidi ya 200 wamekamatwa huku watu 12 wakiwa wamejeruhiwa watano wakiwa wamejeruhiwa kwa risasi,Polisi wawili wamejeruhiwa pia!
Kwani hao wafanyabiashara si watu?

Kwanza anayetumika ni mwananchi anayetoa kura halafu hakuna outcomes.
 
CHADEMA unscrupulous politicians are conspiring with bandits to launch violent demonstrations in order to confront the ruling party from implementing its election manifesto. We have recently witnessed a series of manipulated rallies and demonstrations which are deliberately engineered for the purpose of making it difficult for the government to execute its development duties. As a result the government is now unnecessarily forced to relocate its budget funds and commit them to expenses incurred by security forces while dealing with CHADEMA violent protesters which in turn will have a disastrous effect to the country's economy wellbeing. As far as I can see, I still believe that CHADEMA leaders are capable of helping our government to build our country's future and can do better than choreographing needless rallies and demonstrations which are of no help to an average citizen.
 
Jana niliandika katika thread iliyokuwa inazungumzia mapambano ya polisi na wamachinga kwamba watawala wetu hawa walioshindwa watakuja na kisingizio kwamba upinzani unahusika katika vurugu za jana Mbeya.
 
Haya maandamano hayanipi raha,hujakaa sawa maandamano,mara peoples power_ Pinda.Tutaendelea kuandamana mpaka mkimbikie Tripoli ya Tanzania,tumeanzia Benghazi..Mbeya.
 
Kwa sababu yeye Mkurugenzi katumika hadi kachakaa anadhani na wenzake wanatumika.....magamba bana
Nakubaliana na wewe Kinyungu,yeye ndiye anayetumika kwasababu hajachaguliwa na wananchi,aliyechaguliwa ndo anamtumia dihidi ya wananchi.

Ni boga tu linalinda maslahi.

Bure kabisa!
 
Back
Top Bottom