Mkurugenzi Halmashauri Mbinga ni Majanga, DC fuata upepo

kanyanga

Senior Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
110
Reaction score
68
Wana Mbinga,kutokana na matendo ya ubadhirifu wa fedha na ulaji rushwa kwenye kandarasi zinazotolewa na Halmashauri ya Mbinga,ikimuhusisha DED Bw Ngaga.Mkae mkijua muda si mrefu maendeleo katika Halmashauri hiyo yatakuwa sawa na hadithi za alinacha.

Kandarasi zote za ujenzi katika Halmashauri hiyo ya Mbinga,hutolewa kwa makandarasi hata kabla ya kutangazwa rasmi.Kinachofanyika ni kwamba DED huwaita wakurugenzi wa Kampuni anazotaka kuwapa kandarasi hizo,ili wampatie rushwa kabla ya kutoa hizo kandarasi.Kiwango cha rushwa hutegemea ukubwa wa Kazi,lakini si chini ya Tshs.5m

Kwa mtindo huo,utakuta kandarasi zote hutolewa kwa makampuni yaleyale kila mara.Huyu DED ni mtu fulani mjanja mjanja hivi,kwa hiyo ili kujiweka katika mikono salama,amekuwa akimpatia mgao Mkuu wa Wilaya,pamoja na Afisa Usalama wa Wilaya.

DED na DC wamehusika sana katika biashara ya kahawa msimu,ambapo ununuzi wa kahawa kutoka kwa wakulima umefanyika bila ya kutumia mizani,na badala yake upimaji wa kahawa unefanyika kwa kutumia ujazo wa plastic ndogo maarufu kama DUMLA.

Hakika huo ni wizi kwa wakulima,na mtetezu wao alistahili kuwa DC na huyo DED kama walivyofanya msimu uliopita.Lakini kwa kuwa na wao wameingia kwenye biashara hiyo msimu huu,hakuna mtetezi tena wa wakulima wa kahawa wanaoibiwa kupitia upimaji huo wa kahawa.

Madiwani wanafahamu hayo na mengine mengi but wamekaa kama mazuzu
 
nakala ya uzi huu imfikie kamanda chisango , chimbondi na lidelele .
 
si kweli unataka kumchafua mtu, DED ni mtu nakini sana . Nimegundua hilo baada ya kumpeleka mahakama D.E.O msingi aliyeiba fedha milion 200. Afadhari ungesema D.E.O msingi ni mwizi ningekubali , lakini D.E.D ni mtu makini sana wala sikubaliana na hoja yako.
 
Huu ni unafiki, DED wa Mbinga ni bwana Ngaga? au DC ndio Ms. Ngaga? kitendo cha kuchanganya majina na jinsia kinaonyesha wewe ni mwongo mnafiki, umetumwa na unatumika kama toilet paper. Aliokutuma mwambie akupe data vizuri, angalau jinsia na majina basi. Bado unayo nafasi ya kuedit, your post. au wewe ni mkandarasi ulikosa tender kwa kutoa rushwa ndogo? ongeza dau ndo maisha ya kibongo hayo mpaka mtuondoe madarakani cha moto tutakuwa tumewaonyesha. Hii ndo serikali ya sisi maCCM. na next year tunamweka brother EDO hapo ndo dau la rushawa linapandam kama unalia saa hivi, next year utazimia kabisa.
 
Haya tunaita majungu.haya kalale tumekusikia watu Kama nyie mpo kila mahali
 
Wana Mbinga,kutokana na matendo ya ubadhirifu wa fedha na ulaji rushwa kwenye kandarasi zinazotolewa na Halmashauri ya Mbinga,ikimuhusisha DED Bw Ngaga.Mkae mkijua muda si mrefu maendeleo katika Halmashauri hiyo yatakuwa sawa na hadithi za alinacha.

Kandarasi zote za ujenzi katika Halmashauri hiyo ya Mbinga,hutolewa kwa makandarasi hata kabla ya kutangazwa rasmi.Kinachofanyika ni kwamba DED huwaita wakurugenzi wa Kampuni anazotaka kuwapa kandarasi hizo,ili wampatie rushwa kabla ya kutoa hizo kandarasi.Kiwango cha rushwa hutegemea ukubwa wa Kazi,lakini si chini ya Tshs.5m

Kwa mtindo huo,utakuta kandarasi zote hutolewa kwa makampuni yaleyale kila mara.Huyu DED ni mtu fulani mjanja mjanja hivi,kwa hiyo ili kujiweka katika mikono salama,amekuwa akimpatia mgao Mkuu wa Wilaya,pamoja na Afisa Usalama wa Wilaya.

DED na DC wamehusika sana katika biashara ya kahawa msimu,ambapo ununuzi wa kahawa kutoka kwa wakulima umefanyika bila ya kutumia mizani,na badala yake upimaji wa kahawa unefanyika kwa kutumia ujazo wa plastic ndogo maarufu kama DUMLA.

Hakika huo ni wizi kwa wakulima,na mtetezu wao alistahili kuwa DC na huyo DED kama walivyofanya msimu uliopita.Lakini kwa kuwa na wao wameingia kwenye biashara hiyo msimu huu,hakuna mtetezi tena wa wakulima wa kahawa wanaoibiwa kupitia upimaji huo wa kahawa.

Madiwani wanafahamu hayo na mengine mengi but wamekaa kama mazuzu

nimefuatilia kwa makin malalamiko haya,kila wiki naona post inahuyu mbinga yaan DC na DED.
nimefanya utafiti na kugundua kuwa tatizo ni afisa elimu ambaye anafanyiwa ukaguzi kwa maagizo ya DED.afisa huyo kwa kuwa anajua kuwa ana madudu mengi japo DED alimvumilia sana kawahonga baadhi ya madiwan ili afanye vurugu hizo kujirinda.aidha ameenda mbali zaidi hata kumshirikisha mwenyekiti wa CCM wilaya,hata hivyo suala la mgawo wa pikipiki kwa wajasiliamali umewachanganya baadhi ya makada waliokuwa wananyemelea ubunge.mengi nimeyaona ambayo sio vyema kuyaweka hapa,ushauri kwa mweka uzi huu .usitumike kama mtoto,kuwa makini.chunguza,uwe na takwimu .sio kukurupuka kila siku.ukitaka data ni PM.
 
Watu wa Mbinga wapumba~vu sana mtu katoa taarifa kuwa D ED ni mla rushwa kwa nini mnakurupuka na kuanza kumtetea? Kwa nini msifanye resurch ndipo mje na hoja za msingi za kuipinga hoja hii? nyie ni wala rushwa mnagawana mali za Mbinga kama mlivyogawana vyumba vya biashara pale stand kwa majina bandia au mnafikiri hatujui? barabara mbovu..Mbuyula, bwalo la mgambo- mjini haina hata miaka 2 ni mashimo tu kwa 7babu yenu mafisadi. barabara ya rami ya kiwandani-komba haina miezi 6 ukarabati tayari umeanza.
 
si kweli unataka kumchafua mtu, DED ni mtu nakini sana . Nimegundua hilo baada ya kumpeleka mahakama D.E.O msingi aliyeiba fedha milion 200. Afadhari ungesema D.E.O msingi ni mwizi ningekubali , lakini D.E.D ni mtu makini sana wala sikubaliana na hoja yako.

Mimi sijazungumzia issue ya DEO na huyo DED,hapa ninazungumzia suala la DED kuwa mla rushwa na mfujaji wa fedha za halmashauri.

Pambanua hoja zako Kabla hujashusha lawama zako kwangu.DEO kuwa mwizi hakumzuii DED kuwa mla rushwa
 
Huu ni unafiki, DED wa Mbinga ni bwana Ngaga? au DC ndio Ms. Ngaga? kitendo cha kuchanganya majina na jinsia kinaonyesha wewe ni mwongo mnafiki, umetumwa na unatumika kama toilet paper. Aliokutuma mwambie akupe data vizuri, angalau jinsia na majina basi. Bado unayo nafasi ya kuedit, your post. au wewe ni mkandarasi ulikosa tender kwa kutoa rushwa ndogo? ongeza dau ndo maisha ya kibongo hayo mpaka mtuondoe madarakani cha moto tutakuwa tumewaonyesha. Hii ndo serikali ya sisi maCCM. na next year tunamweka brother EDO hapo ndo dau la rushawa linapandam kama unalia saa hivi, next year utazimia kabisa.

Sijui ndio unaamka muda huu,fanya utafiti wa hayo majina.Naamini hata hujui unachochangia
 
nimefuatilia kwa makin malalamiko haya,kila wiki naona post inahuyu mbinga yaan DC na DED.
nimefanya utafiti na kugundua kuwa tatizo ni afisa elimu ambaye anafanyiwa ukaguzi kwa maagizo ya DED.afisa huyo kwa kuwa anajua kuwa ana madudu mengi japo DED alimvumilia sana kawahonga baadhi ya madiwan ili afanye vurugu hizo kujirinda.aidha ameenda mbali zaidi hata kumshirikisha mwenyekiti wa CCM wilaya,hata hivyo suala la mgawo wa pikipiki kwa wajasiliamali umewachanganya baadhi ya makada waliokuwa wananyemelea ubunge.mengi nimeyaona ambayo sio vyema kuyaweka hapa,ushauri kwa mweka uzi huu .usitumike kama mtoto,kuwa makini.chunguza,uwe na takwimu .sio kukurupuka kila siku.ukitaka data ni PM.

Kwa hiyo umetumwa na DED uje humu kumtetea,nyambafu kabisa.Huyo DED atawamaliza ninyi mkibaki kuleta story za DEO.Hayo mambo yako wazi kabisa,hata huyo mpambe wake wa Idara ya ujenzi Bw.Saanane knows better.Engineer wa Halmashauri hana kauli linapokuja suala la kazi za ukandarasi,he is just there as a rubber stamp and the guy knows very well jinsi DED anavyo kula rushwa toka kwa contractors wanaoomba kazi
 
Watu wa Mbinga wapumba~vu sana mtu katoa taarifa kuwa D ED ni mla rushwa kwa nini mnakurupuka na kuanza kumtetea? Kwa nini msifanye resurch ndipo mje na hoja za msingi za kuipinga hoja hii? nyie ni wala rushwa mnagawana mali za Mbinga kama mlivyogawana vyumba vya biashara pale stand kwa majina bandia au mnafikiri hatujui? barabara mbovu..Mbuyula, bwalo la mgambo- mjini haina hata miaka 2 ni mashimo tu kwa 7babu yenu mafisadi. barabara ya rami ya kiwandani-komba haina miezi 6 ukarabati tayari umeanza.

Sungura-Mjanja,hawa wote unao waona humu wakitoa mapovu ndio wapambe wa mkurugenzi.
 
DED wa mbinga lazima aondoke na DC wake maana hawajielewi wamekalia ngono ktk kazi
 
DED wa mbinga ni mbadhirifu pamoja na mengine yote na muonezi kwa wafanya kazi wengine na mpeni salam kua tayari ukaguzi maalum kwenye halmashauri yake utafanyika soon na Mbunge baada ya kupewa virushwa ameacha kutetea maslahi ya wana mbinga kisa milioni 400 walizogawiana kutoka kwenye pesa za manunuzi ya kahawa
 
Mi ninachofahamu tangu D.E.O mbinga akamatwe na kupelekwa mahakamani anatumia ujanja kushawishi makundi ya watu ili DED aonekane ndiyo tatizo mbinga. huyu DEO ni mjeuri sana anatumia kila mbinu ikiwa ni pamoja na kuwashawishi walimu, madiwani na viongozi wa chama ili waunge mkono wizi wake kwa kuwapa rushwa . Kama umetumwa na DEO huo mpango wenu hautafanikiwa kwa kuwa DEO ni mwizi sana na sasa afadhari afungwe
 
DED amemsimamisha kazi DEO kimakosa na tuhuma na mashtaka aliyotoa hayaeleweki mwelezeni nyundo itamkuta na Mbinga anaondoka na watafuatana na DC wake hii haina ubishi aliagizwa kuwatumikia wana mbinga na sio kujifanya mungu mtu
 
Mi ninachofahamu tangu D.E.O mbinga akamatwe na kupelekwa mahakamani anatumia ujanja kushawishi makundi ya watu ili DED aonekane ndiyo tatizo mbinga. huyu DEO ni mjeuri sana anatumia kila mbinu ikiwa ni pamoja na kuwashawishi walimu, madiwani na viongozi wa chama ili waunge mkono wizi wake kwa kuwapa rushwa . Kama umetumwa na DEO huo mpango wenu hautafanikiwa kwa kuwa DEO ni mwizi sana na sasa afadhari afungwe

DEO aliiba shilingi ngapi? Na ushahidi mnao wewe na huyo unaemtetea ? Ni kwamba vijana wa kazi walishaingia Mbinga na kazi wamemaliza na cha moto atakiona na atapopigwa nyundo asimuhusishe DEO ambae wanahgombania wanawake
 
Mbinga tuamke tutaongozwa na viongozi wazinzi,makahaba,malaya hadi lini? wanashindwa kufikiria maendeleo wanafikiria umalaya hawa ni majanga hawatufai kabisaaaaaa
 
Back
Top Bottom