Walimu na polisi nchini mwetu ni kada zinazodharauliwa sana. Hayo kwa walimu kufanyiwa imeshakuwa kawaida na wao kwa woga wao wanajua ndo utaratibu. Wengine huzabwa makofi hadharani. Ni Mambo ya hovyo kwakweli. Na mbaya zaidi teuzi nyingi za Ma-DED siku hizi zimekuwa za kisiasa zaidi hazizingatii utaratibu wa ajra bali zinalenga chaguzi.