Mkunwa na Mkunaji Nani Anasikia Raha Zaidiiii?

Lara 1 niruhusu,nichangie mada yako
Hapo yajaa mabusu,hadi muda wa kokoliko
Wote hayo yawahusu,hakuna mwenye ujiko
Ni wote

Kila mtu ana hamu,yakuridhisha nafsi
Wanagawana utamu,wanapopata nafasi
Wanabadilishana zamu,huo wakati wa mikasi
Ni wote

Mmoja juu mwingine chini,mwendo wa kimahaba
Hakuna sketi wala bikini,anayoihitaji baba
Chumbani au sebuleni,pambano la mama na baba
Ni wote
 
Wakubwa zangu pokeeni yangu shikamoo
Nanyi wenzangu vipi yenu mamboo
Wadau wenzangu hili nalo jamboo
Mkunwa na Mkunaji nani anasikia raha zaidii?

Nimelileta kwenu hili suala nipate zenu shahidiii
Mkunaji kujitumua, kufanya kazi yenu kwa bidii
Ufundi wake wote kuutumia japo apate ushindii
Mkunwa na Mkunaji nani anasikia raha zaidiii?

Mkunwaji yeye ndo haswaa anayewashwaaa
Lakini haishi mwenzie mkunaji kumnyanyasaa
Hata awashwe vipi atakomaa kuvuta masaaa
Mkunwa na Mkunaji nani ansikia raha zaidiiii?

Mkunaji hachoki kujitumaa, Kila saa kuulizia
Kama mkunwaji yupo tayari huduma kuimalizia
Wala hahitaji kujiandaa, akiitwa tu jambo kamalizia
Mkunwa na Mkunaji nani anasikia raha zaidiii?

Mkunajwi binti kiburi, kingi tena kimemjaaa
Katu hakunwi bila kulipwa pesa kadha wa Kadhaa
Au kupewa zawadi, vitu na mali kadha wa kadhaa
Mkunwa na Mkunaji nani anasikia raha zaidiii?

Mkunaji yeye mwanzo huwa hodari mvumilivu
Atakubali yote ili mradi tu apewe hizo mbivu
Akishakula hizo mbivu shurti lake aache maumivu
Mkunwa na Mkunaji nani anasikia raha zaidiii?

Mimi nahitimisha hili jalada na kesi naifunga
Wote wawili kwa pamoja hatiani nawafunga
Kama wote mwasikia raha yanini kwingi kuzuga
Mkunwa na Mkunaji nani anasikia raha zaidiii?

NAOMBA MAJIBU YENU WAKUU JUU YA HILI SWALA?

Mh!!!....ya leo kali.....hivi tukuweke kwenye kundi lipi wewe?
 
Lara 1 niruhusu,nichangie mada yako
Hapo yajaa mabusu,hadi muda wa kokoliko
Wote hayo yawahusu,hakuna mwenye ujiko
Ni wote

Kila mtu ana hamu,yakuridhisha nafsi
Wanagawana utamu,wanapopata nafasi
Wanabadilishana zamu,huo wakati wa mikasi
Ni wote

Mmoja juu mwingine chini,mwendo wa kimahaba
Hakuna sketi wala bikini,anayoihitaji baba
Chumbani au sebuleni,pambano la mama na baba
Ni wote

Hahahaaaaa! Hapo umenena!!!!!!!!!!
 
Mi kwangu wote mkunaji na mkunwa wanafaidi kila mtu kwa nafasi yake! Hata ukichukulia katika tendo la ndoa utagundua wote mwanamke na mwanaume ni wakunaji na wakunwaji ila kila mtu kwa wakati wake sema mwanamke ukunwa kwa nafasi kubwaa zaidi kutoka na kuwa na sehemu nyingi ambazo upandisha mihemko yake, na hapa unaweza ukachukulia yeye ukunwa zaidi kuliko mwanaume!
 
Mmmmm, mada zingine zinakwaza!!! Mimi nafikiri yule aliye na kikunwa ndiye anayesikia raha, na ndiyo maana ndiye huomba msaada na kuita (jamani njoo unikune mgongoni kunawasha na sipafikii)!!! Ni mawazo tu!!!
 
Mkunwaji raha zote huwa juu yake,hata beti na miguno hutowa yeye,>>Lara
 
Nami namwaga unga,hata kuwe na kuku wengi.Kwa wanaozijua nyonga,sindano haijigangi. Mimi sitaki kuvunga,mzoefu siku nyingi.Anapepeta nikitwanga,na kuniganda kama gundi. Naingiza na kutoa,sindano ngozini kwake.Kwa mahaba hupumua,nafurahia pumu yake...Mkunaji na mkunwaji,wote wanapata raha,nawapa hii dibaji,na mifano kadhaa...Mkuna na mkunwaji, pale wanapopevuka.Wanazama kwenye maji,ya ndoa kuunganika.Huko ndiko kuna ulaji,na mahaba ya uhakika.Hulala mfa maji,usiku kucha kungonoka...mkuna na mkunwaji,wote wanapata raha.Wote ni wakundaji,nieleweni jamaa,waulizeni ujiji,kwetu Mbeya ama Dar.Mkuna na mkunwaji wote wanapata raha..!
 
Tooobah! You are giving me goose bumps aisee.

Blaine whaaaaat! aisee i cant you lol!
dada zangu King'asti na gfsonwin msinifikirie vibaya, i'm just speaking logically. sijui raha ya kukunwa so i can't say yupi anayefaidi zaidi. aliyejaribu vyote ndiye awezaye kusema ukweli, wengine watasemea upande wao tuu. think of it this way, nimeishi TZ all my life siwezi ku-comment maisha ya kenya yakoje na kama ni mazuri kuliko ya hapa. it's the same scenario as this question.
 
Last edited by a moderator:
Kaka, lets agree to disagree. Ila nna mpango wa kukufuata pm tuongee kindugu. Nna maswali yako mengi sana. Can we say gnite or good evening for now?
dada zangu King'asti na gfsonwin msinifikirie vibaya, i'm just speaking logically. sijui raha ya kukunwa so i can't say yupi anayefaidi zaidi. aliyejaribu vyote ndiye awezaye kusema ukweli, wengine watasemea upande wao tuu. think of it this way, nimeishi TZ all my life siwezi ku-comment maisha ya kenya yakoje na kama ni mazuri kuliko ya hapa. it's the same scenario as this question.
 
Last edited by a moderator:
Wakubwa zangu pokeeni yangu shikamoo
Nanyi wenzangu vipi yenu mamboo
Wadau wenzangu hili nalo jamboo
Mkunwa na Mkunaji nani anasikia raha zaidii?

NAOMBA MAJIBU YENU WAKUU JUU YA HILI SWALA?

Lara 1, hapo hizo o mbili zinaongeza ukali wa maneno, moja si ingetosha? au ndo kutafuta urari wa vina na mizani?
Umeingia kwa fani yangu, nitakujibu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom