Mkunda ametuita wananchi “waharifu”: Hii si sawa

Kama umemuelewa kamaanisha maandamano ruksa, kuharibu mali no! So mnauweza kuunda Tahrir square sasa mkatulia kwa shift na watawalinda!
Lakini hajakemea utumiaji wa silaha za moto dhidi ya wananchi. Tena na watu ambao hawako kwenye sare yoyote ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
 
Jeshi huwa linakuwa makini sana kuonyesha upande kwa stage za awali namna hii! Kwa hizi taarifa ambazo hazijawa official ni tricky sana kuzisemea! CDF lazima awe makini sana kila anachosema kisije kuharibu kbs matokeo ya pande mbili zinazoshindana japo kwa hatua za sasa!
 
Nimekupata. Ngoja tusubiri tuone.
 
Busara ingetumika na kuchagua maneno ya kutumia hapa. Kuwaita wananchi wanaodai haki zao za msingi ati ni waharifu wakati huo huo wamekuwa wakitekwa na kufanyiwa unyama mbaya sana. Hii si kauli ya kutoka kwa kiongozi mkubwa namna hii.
Huyu John Jacob Nkunda nimesoma naye A-level nikimtangulia darasa moja. Huyu jamaa ni mpumbavu na wa ovyo, anatetea maslahi ya Kikwete, Samia, Ridhiwani na Abdul. Ni fisadi hasa na mshamba mno, hafai. Tutapigana hadi tone la mwisho. Hatuwataki.
 
Jeshi linao mfano mzuri wa Madagascar. Limalize kazi wananchi waendelee na maisha yao
 
Jeshi huwa linakuwa makini sana kuonyesha upande kwa stage za awali namna hii! Kwa hizi taarifa ambazo hazijawa official ni tricky sana kuzisemea! CDF lazima awe makini sana kila anachosema kisije kuharibu kbs matokeo ya pande mbili zinazoshindana japo kwa hatua za sasa!
Kwa tanzania hiyo haipo yule kaandikiwa hotuba na wanasiasa na kaisoma kama ilivyo

Kumbuka ni mteule wa rais
 
Huyu John Jacob Nkunda nimesoma naye A-level nikimtangulia darasa moja. Huyu jamaa ni mpumbavu na wa ovyo, anatetea maslahi ya Kikwete, Samia, Ridhiwani na Abdul. Ni fisadi hasa na mshamba mno, hafai. Tutapigana hadi tone la mwisho. Hatuwataki.
Shule gani?je chuo gani pia alisoma?
 
Kwa tanzania hiyo haipo yule kaandikiwa hotuba na wanasiasa na kaisoma kama ilivyo

Kumbuka ni mteule wa rais

Nakuelewa mkuu ila kwa usalama wake, hawezi kusema straight kila kitu ruksa, kumbuka baadaye mambo yakibadilika kauli zao zitatumika in the court of law!
 
Kinachoendelea ni uporaji na uharibifu wa mali za watu, yaani UHALIFU!
UHALIFU UTABAKI KUWA UHALIFU TU, HATA UKIFANYWA NA DUNIA NZIMA!
 
Mtu ambaye ametuliwa na Rais na Rais huyo huyo ndio anagombea muda huo, usitarajie iwe tofauti. Hawa mbwa ni washenzi na ni genge hili. Wacha tufe kama ni kufa.
Busara ingetumika na kuchagua maneno ya kutumia hapa. Kuwaita wananchi wanaodai haki zao za msingi ati ni waharifu wakati huo huo wamekuwa wakitekwa na kufanyiwa unyama mbaya sana. Hii si kauli ya kutoka kwa kiongozi mkubwa namna hii.
Meta
 
Kwa tanzania hiyo haipo yule kaandikiwa hotuba na wanasiasa na kaisoma kama ilivyo

Kumbuka ni mteule wa rais
Binafsi sioni hoja kuhusu kuandikiwa hotuba, kwa nafasi yake ni wazi ana wasaidizi watakao kuwa wanafanya kazi hio, lakini yeye atatoa maelekezo ya maudhui, ataridhia maneno yalio andikwa kwa hotuba. Hata Rais anaandikiwa hotuba.

The fact kuwa CDF kajitokeza ktk media na kusoma ujumbe ule, maana yake ameridhia maudhui husika na ni maneno yake, si aliye andika. Mwisho hakuna uwezekano wa kumtisha CDF, nani atafanya hilo? Rais? tena huyu mama wa watu? Je ni Mkuu wa usalama wa taifa? Na nani ni senior kwa mwengine?
 
Back
Top Bottom