Mkulo na Biblia

Cynic

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2009
Posts
5,144
Reaction score
1,655

Hii mbinu ya serikali/CCM kutumia vifungu vya misaafu ''out of context'' kuhalalisha kushindwa kazi inazidi kukua! Kila anayeshindwa kujieleza anatafuta mstari ktk msaafu na kuu''spin'' anavyotaka! Na nyinyi maaskofu, wachungaji, mashehe, maraabi, etc. kemeeni. Vitabu yenu vinashushwa hadhi ..
 
Mkulo ni mkristo? Au kafundishwa na Makamba?
Vifungu kama hivyo haviko kwenye vitabu vitukufu vya kiislamu?
 
he is just trying to re-direct the problems to be handled by him to someone else...ddnw they promise us better life?
 
Kila mtu atakula kwa jasho lake ni maneno ya Mwenyezi Mungu akimwambia Adam.. Hii haina dini moja wala quote ya biblia pekee,.ebu kuweni kiakili...

Pengine ungemuuliza Mkullo ni lini Watanzania hawakula kwa jasho lao kama sii wao viongozi waliofungiwa generators na Tanesco kuhakikisha umeme kwao haukatiki.
Wao hawana mgao kabisa lakini ndio wa kwanza kutonesha machungu ya wananchi..
 
Ndiyo mtaalamu wetu wa uchumi. Halafu anaongea na wananchi kwa maneno mengi ya kiingereza na terms za kiuchumi. Oovyo
 
Kila mtu atakula kwa jasho lake ni maneno ya Mwenyezi Mungu akimwambia Adam.. Hii haina dini moja wala quote ya biblia pekee,.ebu kuweni kiakili...
..

Mkandara, swala ni context .... - siyo kitabu alicho''quóte''. Ninavyojua mimi hii ilikuwa ni laana kwa Adam na vizazi vyake! Mwenyezi Mungu alitoa maneno haya kwa Adam akiwa amekasirika, kama laana ya kufanya dhambi.. Sasa wtz wameimkosea nini serikali hadi walaaniwe na serikali kwa maneno yale yale ya Mwenyezi Mungu?

Pengine ungemuuliza Mkullo ni lini Watanzania hawakula kwa jasho lao kama sii wao viongozi waliofungiwa generators na Tanesco kuhakikisha umeme kwao haukatiki.
Wao hawana mgao kabisa lakini ndio wa kwanza kutonesha machungu ya wananchi..
Hapo umenena..
 
Ivi mkullo kusaka verse za biblia zilizotumiwa na Mwenyezi kulaani kizazi cha Adam ni kwamba alikuwa anawalaani Watz au alikosa kupata verse mbadala. Kwa kweli mawaziri wetu wa fedha takribani wanne wa karibuni wote wanakauli mbaya na hamna aliyemaliza vizuri kpindi chake,na kwa hapa napata maono kuwa anguko la mkullo lakaribia!
 
Kwa maneno mengine ni kwamba Mkulo amewalaani Watanzania wote kama Mwenyezi Mungu alivyomulaani Adam na Hawa baada ya kula tunda lililokatazwa na Mwenyezi Mungu kwa ushawishi wa Shetani (Nyoka).

The Big question is Je Mkulo (read Serikali ya CCM) ana moral obligation gani za kutulaani sisi watanzania wote kwa makosa waliyoyatenda wao (serikali)?

Just thinking aloud
 
Kama kila mtu ale kwa jasho lake na wao pia kodi tutoazo atuachie wenyewe tuzile ni jasho letu au anamaana nyingine. nilivyomuelewa tusilipe tena kodi
 
Amelaaniwa yeye na ukoo wake. Unajua mtu kama huyo anayetumia vitabu vya Mwenyezi Mungu kutoa wrong quots msiseme nae, ulimi wake utamkuhukumu siku chache zijazo. msiwe na wasi wasi.
 
Yuko sawa kabisa!! dhambi yetu watz ni kuichagua ccm, na ndipo anatulaani kabisa! twala kwa jasho....
 
Mkulo, huna ad.... maana kila siku tunakula kwa jasho hadi na damu inachuruzika, leo unaongea ujinga gani hapa? to hell with you
 
Jana nilikuwa natazama kipinda cha Ophra akiwa anamuhoji Bibi Laura Bush, nilishangazwa kwamba wenzetu hata Rais na Familia yake wakiwa ikulu wanalipia chakula wanachokula, akimkalibisha mgeni basi anapaswa kumlipia, ni wakati umefika sasa hawa nao wale kwa jasho lao.
 

There is nothing new here dear friends. What Mkullo is saying is just a repetition of what was once said by Mr. Mramba(former FM during Mkapa reign),that Tanzanians were forced to eat grass in order to purchase Mkapa's Jet plane!

Just stay tuned you will hear more before and during tabling of the 2011/12 Government Budget!!!





 
Sawa hiyo bibilia iko sahihi....sasa kwa nini wewe Mkullo na wenziyo manakula jasho la wengine? Punguzeni basi huo ulaji wenu wa jasho letu kama hamuwezi kushusha kodi ili tuwe sawa...na kwa kuanzia tumia VITZ(660cc) badala ya VX(4800cc) fanya mwenyewe hesabu ni kiasi gani wewe na wenziyo zaidi ya 4,000 mtakavyo saidia uchumi. Toka Oysterbay mpaka magogoni VX la nini? Halafu kwa nini upande gari lenye siti 7 pekeyako?
 
Kwani kitabu cha dini yao hakina vifungu vya ku-support upuuzi wao. Wanaquote Biblia takatifu out of context!!! Ndiyo maana wanashindwa kuendesha nchi. Hiyo ni laana na itaendelea kuwatafuna siku zote mpaka waache madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…