Jituoriginal
JF-Expert Member
- Feb 8, 2010
- 349
- 32
Waziri wa fedha mstaafu Mustapha Mkulo,jana 19 may alipokewa kwa shangwe na vingora na mamia ya wananchi wa jimbo lake .mapokezi hayo yalianzia mji mdogo wa Kimamba na kuhitimishwa na mkutano mkubwa wa hadhara mjini Kilosa na hafra ya chakula kwenye makazi rasmi ya mbunge iliyohudhuriwa na makada wote wa chama wakiongozwa na Elias Tarimo Dc kilosa.

Ndilo kosa kubwa wanaloendelea kulifanya - kulazimisha kupendwaWaziri wa fedha mstaafu Mustapha Mkulo,jana 19 may alipokewa kwa shangwe na vingora na mamia ya wananchi wa jimbo lake .mapokezi hayo yalianzia mji mdogo wa Kimamba na kuhitimishwa na mkutano mkubwa wa hadhara mjini Kilosa na hafra ya chakula kwenye makazi rasmi ya mbunge iliyohudhuriwa na makada wote wa chama wakiongozwa na Elias Tarimo Dc kilosa.
Hapo ni km anamwonyesha JK kwamba hata km amemtpa uwaziri bado anapendwa..huu ni upuuzi sana