M MPENDA USAWA Senior Member Joined Oct 15, 2012 Posts 169 Reaction score 30 Oct 26, 2013 #1 Mimi ni mkulima,natokea wilayani kilindi nna lima Hiriki..natafuta soko la uhakika asanteni...
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,449 Reaction score 5,347 Oct 27, 2013 #2 MPENDA USAWA said: Mimi ni mkulima,natokea wilayani kilindi nna lima Hiriki..natafuta soko la uhakika asanteni... Click to expand... Same Mashariki walikuwa wanajenga Kiwanda, jaribu huko, vinginevyo Kisutu soko mjinga Dsm wanaweza kuwa wateja wako.
MPENDA USAWA said: Mimi ni mkulima,natokea wilayani kilindi nna lima Hiriki..natafuta soko la uhakika asanteni... Click to expand... Same Mashariki walikuwa wanajenga Kiwanda, jaribu huko, vinginevyo Kisutu soko mjinga Dsm wanaweza kuwa wateja wako.
P PUNJE JF-Expert Member Joined Jul 30, 2008 Posts 356 Reaction score 180 Oct 27, 2013 #3 Unazalisha kilo ngapi kwa msimu mmoja? Na je ni zile za kijani baada ya kuzikausha au zinakuwa za kawaida? Na bei yaks kwa kilo ni shillingi ngapi? Utauzia kilindi au utasafirisha hadi mnunuzi Alipo? Hususan kwa mnunuzi wa ndani.
Unazalisha kilo ngapi kwa msimu mmoja? Na je ni zile za kijani baada ya kuzikausha au zinakuwa za kawaida? Na bei yaks kwa kilo ni shillingi ngapi? Utauzia kilindi au utasafirisha hadi mnunuzi Alipo? Hususan kwa mnunuzi wa ndani.
dolevaby JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 12,955 Reaction score 9,532 Oct 28, 2013 #4 MPENDA USAWA said: Mimi ni mkulima,natokea wilayani kilindi nna lima Hiriki..natafuta soko la uhakika asanteni... Click to expand... Bei gani kwa KG? Unazo kiasi gani?
MPENDA USAWA said: Mimi ni mkulima,natokea wilayani kilindi nna lima Hiriki..natafuta soko la uhakika asanteni... Click to expand... Bei gani kwa KG? Unazo kiasi gani?
M MPENDA USAWA Senior Member Joined Oct 15, 2012 Posts 169 Reaction score 30 Oct 28, 2013 Thread starter #5 Jaman tutafutane kwa hii namba 0712720080