Mkulima na Mwandishi wa habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkulima na Mwandishi wa habari

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mbimbinho, Jul 3, 2012.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Najua ilikuwepugi hapa, lakini ngoja tujikumbushe kwa faida ya nyu kamaz

  Mkulima amejiwa na mwaandishi wa magazeti kumuhoji ... kuhusu maisha ya shambani,na mkulima huyu hawapendi
  waandishi wa habari akaona bora amchoshe katika kujibu maswali,
  na mambo yakawa hivi;
  MWANDISHI: Wewe unawalisha ng'ombe chakula gani?,
  MKULIMA: Ng'ombe yupi Mweupe au Mwekundu?
  MWANDISHI: Ng'ombe mweupe
  MKULIMA: Ninamlisha nyasi na viguta vya mahindi,
  MWANDISHI: Na mwekundu??
  MKULIMA: vilevile nyasi na viguta vya mahindi,
  MWANDISHI: ahaa sawa,na sehemu ya kulala ni wapi?
  MKULIMA: Ng'ombe yupi mweupe au mwekundu?
  MWANDISHI: Mweupeee!!!
  MKULIMA: Mweupe ninamlaza bomani kulee,
  MWANDISHI: na mwekundu?
  MKULIMA: vilevile ninamlaza na mwenziwe!!!!
  MWANDISHI: Hii sehemu yote majumbamengi,Na wakienda
  kulisha unafanyaje?
  MKULIMA: Yupi mweupe au mwekundu?
  MWANDISHI: Woooteeee!!!! {kwa hasira}
  MKULIMA: Mweupe nina mfunga kambana kumzungusha
  malishoni na kumrudisha,
  MWANDISHI: na mwekundu vilevile?
  MKULIMA: Mwekundu?,mweku ndu ninamfunga kamba na
  kuzunguka nae kama mwenziwe!!!
  MWANDISHI: Kwanini kila mara nikikuuliza huduma
  za ng'ombe zako unaniuliza mweupe au mwekundu
  halafu inatokea kuwa kazi zao wote ni sawa?????,
  MKULIMA: Kwasababu Ng'ombe mweupe ni wangu,
  MWANDISHI: Na mwekundu?
  MKULIMA: Ni wangu vilevile!!!!!!
  MWANDISHI HOI..!!​
   
 2. General mex

  General mex Senior Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  hahahahaha, umetisha sana.
   
 3. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,208
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  hahahahahahahaha!
  aisee hii imenibamba!
   
 4. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaha
   
 5. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  asee nimecheka mkuu
   
 6. salito

  salito JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  hii kitu inafurahisha sana...
   
 7. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Noted nikihojiwa bila ya kupenda nitatumia staili hii.
  Sijui nianze na watu wa sensaaaaa?
   
 8. MC babuu

  MC babuu Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah ukiwa na hasira unaeza fungwa bure
   
 9. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Duuuu!! kaaazi kwelikweli
   
 10. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  ningekuwa mimi ningemtwanga huyu mfugaji
   
 11. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 60
  Hakika leo umenibamba maana nimecheka mnoo
   
 12. X

  XANDRIA Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha haha ha aha aha hanimeipeeeeeen da
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaaaa
   
 14. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280


  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 15. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  By Mbimbinho

  Asante kwa kunifurahisha.nilikua nimetoka kutifuana na maboss wangu lakini hii imenifanya nicheke ,mpaka nikasahau yaliyonisibu.
   
 16. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Hahahaha, pamoja mkuu..!
   
 17. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Teh,teh mkuu hii kali yao..wanasiasa wakikopi hii waandishi watakoma.
   
 18. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,632
  Likes Received: 3,014
  Trophy Points: 280
  U made my day
  vox popul,vox dei
   
 19. dudupori

  dudupori JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Aminia mbaba.
   
 20. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,153
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  mwishoni ndo kanimaliza hadi mimi
   
Loading...