Mkuki Nje Ya Boma Lako....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,131
Salam wakuu,
For a long time now nilikua nasikia myths kuhusu swala la utamaduni wa wamasai kwamba mwanaume mwenzako anaweza kuja kufanya mapenzi na mkeo na ukikuta mkuki nje ya nyumba yako unatakia kuuchuna hadi huyo kidume mwenzako amalize haja zake. Daaah kwa kweli hii mila kama ipo ni hatare yaan kuvumilia mtu amgegede mkeo kiroho safi hadi amalize? And kama akiamua kulala hadi kesho yake ndio inabidi tu usugue benchi kumsubiri kidume mwenzako. Sema nini? Kama wooote tungekua ni jamii ya maasai, ningependa kutembelea boma za wakuu wafuatao kusimika mikuki nje ya nyumba zao:
Bishanga
MziziMkavu
The Boss (nothing personal Capo Di Capi)
Mashaxizo
SIMplicty etc. (Juz kiddn thou)
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaaaaaaa!
Mi ungesubiri sana!
Coz nisingeoa ng'o!!!!
 
Unatafuta mwingine wa kugegeda nawe.
 
aaaah, sidhani kama kuna societyambayo hamna wivu mdada
 
Hapa tunadiskasi nini?

Tutafute mikuki ya kuchomeka nje ya maboma ya mabest zetu au mila ya kuchomeka mikuki haifai??
 
hapa hatujifunzi kitu ila tunajifurahisha. Hii thread imewekwa baada ya mhusika kushiba.
 
sawa kuchomeka mkuki ipo lkn ni ktk familia 1. Siyo anatoka mmasai wa huko anakuja kuchomeka mkuki kwangu, mbona itakuwa hapatoshi!
 
Ukija kwangu wewe kusimika Mkuki nje mwananmke ndani utamkuta amegeuka Simba na kuanza kukutafuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…