Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu

Apr 1, 2012
9
2
Jamaa mmoja alikuwa anamjaribu mpnz wake wa mbali kwa kumwambia JAMAA, mm ckutaki tena nmepata mwngine kwahyo zle picha zangu naziomba uni2mie,Bnti kuckia vle akalia sana kwa uchungu kumkosa mpnz wake nae kwa hasira akatafuta picha 100 za wanaume tofauti tofauti na kumtumia akimwambia jamaa NMEKUSAHAU SIJAJUA WW NI NANI TAFUTA PICHA YAKO KATI YA HZ ZNAZOBAKI N2MIE MANAKE HAO WOTE WALIKUWA MABWANA ZANGU jamaa kusikia vle akajinyonga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom