Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.

Byendangwero

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
871
Reaction score
56
Leo hasubuhi wakati wa kuhairisha bunge, spika Makinda alilalamikia zomea zomea iliyowakumba wawakilishi wa CCM wakati wa kutoa maoni juu ya mswada wa kurekebisha katiba. Malalamiko hayo yalipokelewa kwa shangwe kutoka kwa wabunge wa CCM. Kitendo hicho kiliwashangaza wengi. Katika siku za hivi karibuni spika Makinda mwenyewe amekuwa akiendekeza zomea zomea ya wabunge wa CCM kwa wabunge wenzao wa CDM; lakini kwakuwa hivi sasa kibau kimewageukia wenzake anaanza kulalamika. Kitendo hicho ni ushahidi mwingine ya kuwa mama huyo hafahi kabisa kuwa spika kwasababu anaonyesha upendeleo wa wazi.
 
Hahahaha, hawataki bunge liwe kama House of Commons ? The House of Commons is such a zoo



 
Last edited by a moderator:
Spika ajiulize kwanini wao CCM wanazomewa? sio kulalamika ukizomewa ujue kuna sababu? mwambieni Bimkubwa huyo asiwe mvivu wa kufikiri asipoamka sasa atakuja kuamshwa 2015 .... zomeazomea hiyo ni ishara ya kuwahamsha toka usingizini sasa wenyewe waendelee kuvuta shuka watajuta.
 
Back
Top Bottom