MKUHUMI ndio nini jamani?

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
2,712
Reaction score
1,810
Hi wanaJF, hivi majuzi nilimsikia Waziri wa Mazingira akisema kuwa kuna Mpango unaoitwa MKUHUMI unaolenga kusaidia kupunguza uharibifu wa misitu katika kukabiliana na mabadiliko ya Tabia nchi. Hivi ndio nini hiki kitu? Mnadhani ni kitu chema kwa nchi? Mwenye taarifa kuhusu huu mpango anisaidie niufahamu kwa undani zaidi maana mimi ni mwanaharakati wa mazingira pia...Nawasilisha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…