Nani anajua zaidi?
Wewe una akili za nzi, mkude anacheza nafasi gani.Mkude anakimbia kama ananyata..Mara ya mwisho kufunga goli raisi Jk
Kimpira na kiufundi,kiushabiki siyo watu wana mahaba
Mkurya mwenzangu unanikoshaga sana na majibu yako!Kiuwezo Papy Kabamba Tshishimbi yuko juu ya Jonas Mkude.
Kiuburudishaji Uwanjani ili usijutie kutoa Hela yako ya Kiingilio Jonas Mkude ni zaidi ya Papy Kabamba Tshishimbi.
Papy Kabamba Tshishimbi anacheza Kiuongo ya kushambulia zaidi
Jonas Mkude anacheza sana Kiungo ya Ukabaji zaidi
Papy Kabamba Tshishimbi tayari ana uzoefu wa Michuano ya Kimataifa
Jonas Mkude ndiyo Kwanza sasa anaanza Kucheza mechi za Kimataifa japo mwaka 2012 alipata nafasi kidogo ya Kucheza dakika kadhaa nafasi ya Marehemu Patrick Mutesa Tabu Petit Mafisango
Papy Kabamba Tshishimbi ana amebakiza muda mchache kudumu katika Soka kutokana na Umri
Jonas Mkude bado ana muda mrefu wa Kucheza mpira zaidi ndani na hata nje ya nchi kama tu ataimarisha nidhamu yake hasa ya nje ya Uwanja ambayo mara kwa mara imekuwa ikimgharimu
Ni hayo tu Mkuu na kila la kheri.
Hivi Mkude ana miaka mingapi kihalisia MkuuKiuwezo Papy Kabamba Tshishimbi yuko juu ya Jonas Mkude.
Kiuburudishaji Uwanjani ili usijutie kutoa Hela yako ya Kiingilio Jonas Mkude ni zaidi ya Papy Kabamba Tshishimbi.
Papy Kabamba Tshishimbi anacheza Kiuongo ya kushambulia zaidi
Jonas Mkude anacheza sana Kiungo ya Ukabaji zaidi
Papy Kabamba Tshishimbi tayari ana uzoefu wa Michuano ya Kimataifa
Jonas Mkude ndiyo Kwanza sasa anaanza Kucheza mechi za Kimataifa japo mwaka 2012 alipata nafasi kidogo ya Kucheza dakika kadhaa nafasi ya Marehemu Patrick Mutesa Tabu Petit Mafisango
Papy Kabamba Tshishimbi ana amebakiza muda mchache kudumu katika Soka kutokana na Umri
Jonas Mkude bado ana muda mrefu wa Kucheza mpira zaidi ndani na hata nje ya nchi kama tu ataimarisha nidhamu yake hasa ya nje ya Uwanja ambayo mara kwa mara imekuwa ikimgharimu
Ni hayo tu Mkuu na kila la kheri.
Mkurya mwenzangu unanikoshaga sana na majibu yako!
Elimu yako unaitendea vyema,
Gentamycine oyeeeee
Hivi Mkude ana miaka mingapi kihalisia Mkuu
Samahani mkuu kama nimekukwaza mie nimeuliza uliposema Mkude mdogo zaidi ya PapiiMimi Mama yake Mzazi? Acha ' Ubwege Nazi ' tafadhali.
Hata marcelo wa madrid ni beki ila balaa lake tunalijua aseeWewe una akili za nzi, mkude anacheza nafasi gani.
Avatar yako noma mkuu, ila angalia usikwafye kwafye mademu ukaangamia na ngomaMkurya mwenzangu unanikoshaga sana na majibu yako!
Elimu yako unaitendea vyema,
Gentamycine oyeeeee