Mkuchika unatia aibu:kua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuchika unatia aibu:kua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 14, 2008.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,470
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Kwako waziri
  pole sana kwa kukaa benchi na kujua umuhimu wa uraia!!!
  Pili napenda kukupa pole kwa kujitia aibu mwenyewe pamoja
  na kuiimarisha sekta ya wanahabari pasipokujua:::
  Najua wizara uliyopewa kwako ni kama umeingia choo cha kike
  pamoja na proffession yako ya uanamgambo ukustaili kuongea upuuzi kama ule ukijaribu kutishia wanahabari kwa maneno yasiyofaa::tunapenda kukuakishia hakuna atakaeogopa hapo ni kama umewasha moto na hakuna atakaeogopa kusema ukweli

  ungekuwa mstaarabu kama ungewaita wahariri wa gazeti la rai
  ulioonyeshwa habari kama hiyo na mkamua kukaa kimya,naopenda kukwambia mzee wetu unazeeka vibaya na umejiaibisha sana kwa kusema waziri akuridhika,,na kuuliza kuna ambae aanaweza kuridhika au la zaidi yako:huu ni uhuni wa jeshini ambao utakiwi kutishia wanahabari kama uko lugalo,,una aamrisha wanamgambo wako::::::


  Tatu

  nakushauri ukiwa kama mstaarabu jirekebishe kwa maneno yako wakati ukiwa unawaita waandishi wa habari na jifunze kusema maneno ya hekima!!!!,

  mwisho nawashauri wanahabari wote msiogope huu ni mwanzo tu jamani tusikate tamaa hakuna allie juu ya sheria
   
Loading...