Mkuchika- umeme umenifanyisha zoezi

Mkuchika- umeme umenifanyisha zoezi

gervase

Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
41
Reaction score
5
Tupo ktk mkutano wa wakuu wa shule za sekondari Tanzania, Arusha. Umeme umekatika, waziri mkuchika amesimama dakika 10 jukwaani akisubiri umeme. Wamewasha generata sasa anaendelea. Amesema "umeme umenipa fursa ya kufanya zoezi la kusema". Nawasilisha.
 
Yani yeye kusema tu ameona bonge la ishuu, kudadeki kulewa madaraka ni kubaya. Vipi wale ambao umeme usipowaka hawaingizi kitu na baadaye hawali, mfano wenye kazi za welding, salon and the likes...
 
Back
Top Bottom