Mkubwa na wanae....!!!

Natamani arudi ujana niendelee kumuona tena alivyokuwa anawatesa magolikipa kwa mikwaju ya faulo
 
wamefanana na mama yao haooo...ni hatari
 
baada ya malkia alikua anafuata huyu kwa kupendwa
 
Mama yao wamefanana kidogo, angalia tumacho kama baba hasa huyo wa mwisho kafanana na baba.
check vizuri mzunguko wa nywele kwenye paji la uso, midomo na kuchongoka kwa pua na kidevu...kama mama yao wallah..ni warembo balaa

labda kidooogo huyo mkubwa kaibiaibia kwa dingi yake
 
check vizuri mzunguko wa nywele kwenye paji la uso, midomo na kuchongoka kwa pua na kidevu...kama mama yao wallah..ni warembo balaa

labda kidooogo huyo mkubwa kaibiaibia kwa dingi yake
Bado macho yangu yanakataa.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…