Mkubwa magereza

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
400
Reaction score
472
Bosi Wa wizara ya mambo ya ndani naenda kuwasalimia na kujitambulisha pale Magereza makao makuu,cha ajabu,ile ilani ndiyo kama msahafu,amesahau hata kulinda na kutembea na katiba ya nchi.

Sijui kama anakosea au anapatia sana maana chama hicho kina wenyewe,kindakindaki,ingekuwa vema tumjulishe wenye kustahili kuzurura na ilani kila pahali. Je,jeshini kuna itikadi?
 
Huyu Waziri Mpya Wa Mambo Ya Ndani Kama Hiyo Nafasi Imempagawisha Flani
 
Yaani salute na ilani? Sijui pole pole kapokwa majukumu yake
 
Afanikiwe kwanza kuondoa hiyo Ndambi ndo ntajua yuko serious na maisha haya.
 
angejua naye nchemba alijipendekeza sana kwa jiwe kuhusu dogo Abdallah Nondo kuwa alijiteka, lkn baadaye akamsahau na kumtumbua, naye asubiri atamlia timing atachomolewa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…