chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,830
- 29,509
Mkuu angalia afya yako kwanza. Tendo la ndoa siyo muhimuwasiwasi je ubora wa kushiriki tendo la ndoa utakuwaje? Je hakuna matibabu mengine
Mkuu angalia afya yako kwanza. Tendo la ndoa siyo muhimuwasiwasi je ubora wa kushiriki tendo la ndoa utakuwaje? Je hakuna matibabu mengine
Uwezo wa tendo kama utapungua baada ya operation nitakua hapa kwa ajili yake😎🙏Kulinda uwezo wa tendo ni muhimu sana, Treat the disease preserve function.
Alisema haina sababu za chanzo za moja kwa moja, huwa inatokea kati ya wanaume 100, 15 wanao huo ugonjwa according na maelezo ya doktaChanzo cha tatizo Nini Mkuu?
Kwa mujibu wa daktari
Hauwezi kupungua , akibaki na tatizo ndio utapungua ila akitibiwa baada ya miezi miwili tu uwezo wake unaongezeka kuliko alivyokua na tatizoUwezo wa tendo kama utapungua baada ya operation nitakua hapa kwa ajili yake😎🙏
Pole mkuu. Fanya kama wadau walivyoshauri. Tatizo lako linatibika kabisa kabisa.Hapana, nilimuona dokta wa fertility, nikaenda kufanya ultrasound ndo nikapewa hayo majibu
Just imagine 😳Huyu itakua hana maumivu,huwezi kua na maumivu ukawaza tendo la ndoa,kwanza hata mnara hautasimama coz akili inakua imeconcentrate kwenye maumivu.
Sawa mkuu, Asante ni wapi ndo ambapo ni huduma ya uhakika?Kcmc ila nakushauri fika pale seint Elmo karibu na crdb au famanic pharmacy. ukiwaambia boda wana kupeleka chap
Ohoo, kumbe ni bora zaidi kuchukua hatua mapema ✅️Hauwezi kupungua , akibaki na tatizo ndio utapungua ila akitibiwa baada ya miezi miwili tu uwezo wake unaongezeka kuliko alivyokua na tatizo
Ndiyo akasema ni kufanya upasuaji, wasiwasi je ubora wa kushiriki tendo la ndoa utakuwaje? Je hakuna matibabu mengine
Oooh!! Kumbe, maana mwanzo nilikuwa na wasiwasi sanaHauwezi kupungua , akibaki na tatizo ndio utapungua ila akitibiwa baada ya miezi miwili tu uwezo wake unaongezeka kuliko alivyokua na tatizo
Asante kwa ushauri wako mkuu, kumbe ntakuwa salama?Una korodani 2, nyingine itatoa mbegu...
Kuhusu ufanisi wa tendo la kingono, kinachofanya ngono ni uume na misuli yake haina muingiliano na korodani...
Ukipunguaje , fafanua vizuri pengine tayari kuna wengine ambao uwezo wa tendo ushapungua kwa namna unayotaka.Uwezo wa tendo kama utapungua baada ya operation nitakua hapa kwa ajili yake😎🙏
Pole sana inaonekana stress ilikua kubwa wadau wamekupa muongozo kila la kheri katika matibabu yakoOooh!! Kumbe, maana mwanzo nilikuwa na wasiwasi sana
We jamaa usinisikilize kwa umakini😁😁Ukipunguaje , fafanua vizuri pengine tayari kuna wengine ambao uwezo wa tendo ushapungua kwa namna unayotaka.
Unaweza ukabahatika embe chini ya mnazi, hapa hapa
Pole Mkuu, maana kati ya wanaume 100, 15 wenye nao na wewe umo.Alisema haina sababu za chanzo za moja kwa moja, huwa inatokea kati ya wanaume 100, 15 wanao huo ugonjwa according na maelezo ya dokta
Asante kwa ushauri wako mkuu, kumbe ntakuwa salama?
Kwahiyo unamtania Mgonjwa wetuWe jamaa usinisikilize kwa umakini😁😁
Mishapa ya damu ina valve za kuruhusu damu kupita ,sasa ikishindwa kuruhusu damu ina rudi nyuma badala ya kwenye mbele , utaona kama mikunjo mikunjo fulani.Chanzo cha tatizo Nini Mkuu?
Kwa mujibu wa daktari
Sawa Mkuu, nini hasa husababisha hiyo Mishipa kuziba hadi kushindwa kufanya kazi yake kwa ufanisiMishapa ya ina valve za kuruhusu damu kupita ,sasa ikishindwa kuruhusu damu ina rudu nyuma badala ya kwenye mbele , utaona kama mikunjo mikunjo fulani.
Ni kama mfano wa valve za bomba la maji kuziba na maji kushindw kupita na kurudi nyuma na kusababisha pressure sehemu ya bombo na kutengeneza mafunda funda ya maji ndani ya bomba🤔
Namliwaza asije kujitia kamba akidhani atakosa mbususu au kusimangwaKwahiyo unamtania Mgonjwa wetu