Mkosa hoja. . . .

Do you care about their faces?? Are they really? Got anything to do with their smile?? Better get them lost!!

Just for the fun of it kakondoo. .
Ngoja nikagombane na besti maridadi sasa.
 
eeh kumbe na wewe mfanyabiashara ni mwanamke wa maana??mbona isingekuwa rahisi..we zuga tu,tutakutana Pm..

Ukizuga kua kichaa wapo watakaodhani ni kichaa kweli.
PM mwombe Invisible na PAW wawe wanakutumia.
 
tatizo hapa jamvini wengi wanataka kila mtu akubaliane au wengi wa wam support alicho
kiandika. na ukiienda kinyume na hapo ndo mambo yanabadiliaka na mtu anaanza kujifanya
anakujua ...tena anakwambia live "Tengeneza njia yako" .. Tukubaliane tu kila mtu ni tofati
na mawazo tofauti.. wote tukiwaza na kukubaliana kila jambo itakuwa "boring sana" weekend njema bana ...

Hahaaha. . .
Na utengeneze njia yako kwa lami sio kokoto.
 
Ukizuga kua kichaa wapo watakaodhani ni kichaa kweli.
PM mwombe Invisible na PAW wawe wanakutumia.

kumbe tupo wengi!kweli we noma.naona upo kikazi zaidi,ngoja nisepe nisije kuwa naharibu soko..
 
Kauli za watu ambao wamekosa hoja hapa jamvini.

1. Badala ya kujibu hoja anakugeuza wewe hoja : "una hasira, mmeo/mkeo hivi, boyfriend/girlfriend wako vile, umeachwa " wakati hakujui.
2. Badala ya kujibu hoja anadiscredit ulichouliza kwa kusema hujui kitu wakati yeye ndie alieshindwa kukujibu.
3. Badala ya kujibu hoja anaanzisha mada nyingine mpya kabisa.
4. Badala ya kujibu hoja anaanzisha matusi.
5. Badala ya kujibu hoja anaanza kudai "unatoa povu" ili tu uulize povu gani na kupoteza mlichokua mnajadili.
6. Badala ya kujibu hoja anakuita mbishi.
7. Badala ya kujibu hoja anakwambia usingechangia "hukuombwa/lazimishwa kuchangia" .
8. Ukitaka kuelewa point yake kuhusu tabia fulani anakwambia "wewe utakua hivyo hivyo" badala ya kukuelewesha.
9. Ukimuelewesha/jaribu kumrudisha kwenye mada anasema unamlazimisha kufikiri kama wewe.
10. Anakutisha na "do you know who I am?".
11. Anakwambia yeye ana pesa/amesoma sana.

. . . . . .

....Duh!!! Yaani nimeipenda sana hii maana kila ulichoandika ni kweli kabisa.

Last edited by a moderator:
....Duh!!! Yaani nimeipenda sana hii maana kila ulichoandika ni kweli kabisa.

BAK inabidi niongeze ya yule jamaa. . . .
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Na akimaliza kutapatapa huko kooote,
Atarudi na ID mpya na Avatar mpya na mbwembwe mpya....
Nadhani ni upande wa pili wa burudani wa JF.... kuangalia wapuuzi wanavyoweweseka hapa!
jG hawa ndio wale ukiangalia joined date unaona ni leo, post anazo nne na zote zinamlenga member fulani.:A S-coffee:
 
Kuna watu ambao kama kwao ndo wenye sauti basi hata kwenye mijadala wanataka waogopwe, kama ni boss ofisini kwake basi atataka atawale hata jukwaani, hata kama katumia lugha mbaya hataki aambiwe.........au anakwambia 'do you know who Iam'.......hahahah sijui nani kamwambia kuwa cheo chake ndo kila kitu!!!

Ila mie nawahusudu sana waungwana wa hapa pale wanakosea na kuambiwa au kuona wenyewe wamekosea hawaoni tatizo kuommba samahani ila kuna wengine wa matawi ya juu hawako tayari kuomba radhi hata pale wanapokosea eti watajishusha!!!! Naona kila mwisho wa mwaka kuna haja ya kutoa kijizawadi kwa wanachama ambao wameonyesha ustaarabu wa hali ya juu katika mijadala mbali mbali hapa jukwaani, labda hii itasaidia sana katika kuhakikisha watu hawakurupuki na kuandika upupu ambao mara nyingi huishia kuchafua hali ya hewa.
 
I thought I've heard it all until when someone came with "I keep tag, and you have never supported me" to realize that JF will never cease to amaze me
 
Ila mie nawahusudu sana waungwana wa hapa pale wanakosea na kuambiwa au kuona wenyewe wamekosea hawaoni tatizo kuommba samahani ila kuna wengine wa matawi ya juu hawako tayari kuomba radhi hata pale wanapokosea eti watajishusha!!!! Naona kila mwisho wa mwaka kuna haja ya kutoa kijizawadi kwa wanachama ambao wameonyesha ustaarabu wa hali ya juu katika mijadala mbali mbali hapa jukwaani, labda hii itasaidia sana katika kuhakikisha watu hawakurupuki na kuandika upupu ambao mara nyingi huishia kuchafua hali ya hewa.
Kwanzia leo nakua mtoto mzuri nisikose zawadi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom