Mkosa hoja. . . .

Hunijui, sikujui achana na mimi na ukafie mbele. Founders, 2011: Lizzy & The Finest (Promotion & Revision,2012: kongosho)

Hahahahaha. . . .
Hujatulia kabisa wewe. Alright nakupa ruhusa ila usichakachue zaidi ya hapo. FYNEST ntaongea nae.
 
7. Badala ya kujibu hoja anakwambia usingechangia "hukuombwa/lazimishwa kuchangia" .
. . . . . .[/QUOTE]

Hiyo namba saba, wewe wakati mwingine ndite unayeongoza kwa kuharibu hoja za watu, mfano yule dada alibandika thread yake kuhusu avatar yake kua ni picha yake ya kweli wewe ukaja ukaanza kumharibia na watu wengine walikushambulia, na hii umeshawahi kunifanyia hata mimi kwenye baadhi ya ID zangu hapo kipindi cha nyuma, hujioni?
anyway asante kwa mchango wako na wewe umeji include kama mmojawapo wa wenye hizo tabia!
 
Hiki ni kiwango cha chini kabisa cha kukosa hoja. Mtu hata kufika hatua ya kukutishia yeye ni nani basi elewa kuwa kama ana pesa basi ni mwizi au muuza unga, kama ni mwanasiasa basi ni mchakachuaji, kama ni afisa basi kabebwa au "kabeba" hadi kufikia hapo alipo, kama ni "msomi" basi kamaliza mabanda bila ya kupata elimu.

Alafu aliuliza katikati ya mjadala kabisa bila hata connection yoyote, sasa sijui alitegemea aogopwe???
 
7. Badala ya kujibu hoja anakwambia usingechangia "hukuombwa/lazimishwa kuchangia" .
. . . . . .

Hiyo namba saba, wewe wakati mwingine ndite unayeongoza kwa kuharibu hoja za watu, mfano yule dada alibandika thread yake kuhusu avatar yake kua ni picha yake ya kweli wewe ukaja ukaanza kumharibia na watu wengine walikushambulia, na hii umeshawahi kunifanyia hata mimi kwenye baadhi ya ID zangu hapo kipindi cha nyuma, hujioni?
anyway asante kwa mchango wako na wewe umeji include kama mmojawapo wa wenye hizo tabia![/QUOTE]

Haya we nawe unaendelea kukurupuka kama ulivyofanya kule. Hiyo hoja niliharibu unajua kitu nilichochangia mwanzo kabisa? Nilimuuliza "vipi aite watu asiowajua wabaya. Nikamalizia kwa kumwambia kwamba sijaona hiyo avatar yake hivyo aiweke kwenye thread na mie nione." Majibu yaliyofuata yalikua hayaendani na nilichoandika mimi. . . na philosophy yangu ni kwamba mtu akianza kunijibu kwa kukurupuka ntamlisha sabuni mpaka atoe povu, siko hapa kubembeleza na kujipendekeza kwa yeyote. Heshima yangu natoa panapostahili pekee. Kwahiyo kama ni kuharibu thread yake, aliharibu mwenyewe.
 
Kauli za watu ambao wamekosa hoja hapa jamvini.

1. Badala ya kujibu hoja anakugeuza wewe hoja : "una hasira, mmeo/mkeo hivi, boyfriend/girlfriend wako vile, umeachwa " wakati hakujui.
2. Badala ya kujibu hoja anadiscredit ulichouliza kwa kusema hujui kitu wakati yeye ndie alieshindwa kukujibu.
3. Badala ya kujibu hoja anaanzisha mada nyingine mpya kabisa.
4. Badala ya kujibu hoja anaanzisha matusi.
5. Badala ya kujibu hoja anaanza kudai "unatoa povu" ili tu uulize povu gani na kupoteza mlichokua mnajadili.
6. Badala ya kujibu hoja anakuita mbishi.
7. Badala ya kujibu hoja anakwambia usingechangia "hukuombwa/lazimishwa kuchangia" .
8. Ukitaka kuelewa point yake kuhusu tabia fulani anakwambia "wewe utakua hivyo hivyo" badala ya kukuelewesha.
9. Ukimuelewesha/jaribu kumrudisha kwenye mada anasema unamlazimisha kufikiri kama wewe.
10. Anakutisha na "do you know who I am?".
11. Anakwambia yeye ana pesa/amesoma sana.

. . . . . .

Orait Lizzy, I know, I know.
I could tell something just wasn't right.
When you turned your back to me and you covered your head,
Then you didn't even say goodnight.
Now if you tired, 'n' you don't wan' be bothered baby,
Just say the word and I'll leave you 'lone.
Instead of layin' out cryin' yo' eyes out, baby,
Let's straighten it out then. Please?

Last edited by a moderator:
Hiyo namba saba, wewe wakati mwingine ndite unayeongoza kwa kuharibu hoja za watu, mfano yule dada alibandika thread yake kuhusu avatar yake kua ni picha yake ya kweli wewe ukaja ukaanza kumharibia na watu wengine walikushambulia, na hii umeshawahi kunifanyia hata mimi kwenye baadhi ya ID zangu hapo kipindi cha nyuma, hujioni?
anyway asante kwa mchango wako na wewe umeji include kama mmojawapo wa wenye hizo tabia!

Haya we nawe unaendelea kukurupuka kama ulivyofanya kule. Hiyo hoja niliharibu unajua kitu nilichochangia mwanzo kabisa? Nilimuuliza "vipi aite watu asiowajua wabaya. Nikamalizia kwa kumwambia kwamba sijaona hiyo avatar yake hivyo aiweke kwenye thread na mie nione." Majibu yaliyofuata yalikua hayaendani na nilichoandika mimi. . . na philosophy yangu ni kwamba mtu akianza kunijibu kwa kukurupuka ntamlisha sabuni mpaka atoe povu, siko hapa kubembeleza na kujipendekeza kwa yeyote. Heshima yangu natoa panapostahili pekee. Kwahiyo kama ni kuharibu thread yake, aliharibu mwenyewe.[/QUOTE]

Hahaaa haaa kweli umekosa hoja.
 
Hahahaha. . .watu bana. Yani kutisha watu na "do you know who I am" aache kufanya huko mtaani wanakojali au hata kumtegemea aje kutisha hapa JF sehemu ambayo kila mtu kajileta mwenyewe?

ndo hapo sasa! Alafu cha kuchekesha anatumia fake name ilhali anataka watu wamjue yeye ni nani!!
 
Orait Lizzy, I know, I know.
I could tell something just wasn't right.
When you turned your back to me and you covered your head,
Then you didn't even say goodnight.
Now if you tired, 'n' you don't wan' be bothered baby,
Just say the word and I'll leave you 'lone.
Instead of layin' out cryin' yo' eyes out, baby,
Let's straighten it out then. Please?

Hahahaha thanks for the jam EMT. . . .
You made my night.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha thanks for the jam EMT. . . .
You made my night.

Unaona sasa? My intention was not to make your night but to straighten it out.
Sit yourself down, girl, and talk to me;
Tell me what's uh on your mind.
Don't keep on tellin' me I made your night.
Kumbe na sisi wanaume ni wagumu kueleweka eh?
 
Back
Top Bottom