Mkosa hoja. . . .

Kauli za watu ambao wamekosa hoja hapa jamvini.

1. Badala ya kujibu hoja anakugeuza wewe hoja : "una hasira, mmeo/mkeo hivi, boyfriend/girlfriend wako vile, umeachwa " wakati hakujui.
2. Badala ya kujibu hoja anadiscredit ulichouliza kwa kusema hujui kitu wakati yeye ndie alieshindwa kukujibu.
3. Badala ya kujibu hoja anaanzisha mada nyingine mpya kabisa.
4. Badala ya kujibu hoja anaanzisha matusi.
5. Badala ya kujibu hoja anaanza kudai "unatoa povu" ili tu uulize povu gani na kupoteza mlichokua mnajadili.
6. Badala ya kujibu hoja anakuita mbishi.
7. Badala ya kujibu hoja anakwambia usingechangia "hukuombwa/lazimishwa kuchangia" .
8. Ukitaka kuelewa point yake kuhusu tabia fulani anakwambia "wewe utakua hivyo hivyo" badala ya kukuelewesha.
9. Ukimuelewesha/jaribu kumrudisha kwenye mada anasema unamlazimisha kufikiri kama wewe.
10. Anakutisha na "do you know who I am?".
11. Anakwambia yeye ana pesa/amesoma sana.
12. Ataingiza dini/ kabila/ muonekano wako (japo haujui)
13. Atakwambia alichoandika kimekugusa.
14. Anaanzisha thread nyingine ya kulalamika.
. . . . . .
Dah, binadamu ndivyo tulivyo. Unajua nimewahi kusoma kitabu fulani kinaongelea tabia mbalimbali za binadamu, it was more or less a psychological book ndo nikawajua watu vizuri
 
kwa sasa hata mie sitaweza
ila kipindi hiyo
wala hujali, utadhani mwili mzima umetengenezwa kwa mkono

kuna waliokuwa wanaongozana kupu
wanajipanga
afu wanaanza kutangaza kwa kupokezana kama komentetaz wa futibal
it was crazy!

Hahahaha. . . .mlikua na mambo nyie.

Mi nimewahi kulala pale Mlimani mara moja nikaoga asubuhi basi full kujishtukia japo wengi walishatoka. Mi siwezi aisee. . . .
 
Dah, binadamu ndivyo tulivyo. Unajua nimewahi kusoma kitabu fulani kinaongelea tabia mbalimbali za binadamu, it was more or less a psychological book ndo nikawajua watu vizuri
Ukawajua wakoje. . . . . ??!
 
kwa sasa hata mie sitaweza
ila kipindi hiyo
wala hujali, utadhani mwili mzima umetengenezwa kwa mkono

kuna waliokuwa wanaongozana kupu
wanajipanga
afu wanaanza kutangaza kwa kupokezana kama komentetaz wa futibal
it was crazy!

Must have been fun though. . . .
 
Faida nyingine ilikuwa ni kujifunza lugha ya Kiingereza kwa sababu watoto wengi wa pale walitokea Olympio ...sasa ukichanganya na wale Wahindi ambao walikuwa hawajui Kiswahili mtoto wa kitaa na wewe unajikuta unalonga nao hivyo hivyo.

Wow, Mwafrika went to Olympio. Memories..
 
Kauli za watu ambao wamekosa hoja hapa jamvini.

1. Badala ya kujibu hoja anakugeuza wewe hoja : "una hasira, mmeo/mkeo hivi, boyfriend/girlfriend wako vile, umeachwa " wakati hakujui.
2. Badala ya kujibu hoja anadiscredit ulichouliza kwa kusema hujui kitu wakati yeye ndie alieshindwa kukujibu.
3. Badala ya kujibu hoja anaanzisha mada nyingine mpya kabisa.
4. Badala ya kujibu hoja anaanzisha matusi.
5. Badala ya kujibu hoja anaanza kudai "unatoa povu" ili tu uulize povu gani na kupoteza mlichokua mnajadili.
6. Badala ya kujibu hoja anakuita mbishi.
7. Badala ya kujibu hoja anakwambia usingechangia "hukuombwa/lazimishwa kuchangia" .
8. Ukitaka kuelewa point yake kuhusu tabia fulani anakwambia "wewe utakua hivyo hivyo" badala ya kukuelewesha.
9. Ukimuelewesha/jaribu kumrudisha kwenye mada anasema unamlazimisha kufikiri kama wewe.
10. Anakutisha na "do you know who I am?".
11. Anakwambia yeye ana pesa/amesoma sana.
12. Ataingiza dini/ kabila/ muonekano wako (japo haujui)
13. Atakwambia alichoandika kimekugusa.
14. Anaanzisha thread nyingine ya kulalamika.
. . . . . .

hpo kwenye rangi huyu huyu mkosa hoja!
 
Back
Top Bottom