Mkorogo

Haaaa! Sasa ukishajua siri na wewe utatumia au?!
 
si wanawake peke yao ata wanaume pia

unanata kujua ili na wewe upake?

changanya omo+jiki+yai viza+mavi ya mende+mkojo wa mlevi+sifongo+maji ya betri=MKOROGO MURWAAAAA


m telling u ukiaaply iyo combinenga ahh mbona kesho asubui michael jackson uyu apa...dah utameremeta yaan u just try n u wil c

dnt foget kunipa MREJESHO tafadhali...
 
yaani jana mtwara mpaka nilishangaa mtu unabadilisha rangi mpaka rangi hajulikani.mtu unakuwa kichekesho.kama mdori.kuiga tutakufa
 
ushasema wanatia mkorogo af unauliza tena wanapaka nni.....................huh
 
Napita tu,nimeingia choo cha vilema!
 
Samahani sana. Nimekosea, nimeingia choo cha wehu. Nitarudi baadae.
 
ha ha haloooo mikorogo itawauwa hiyo hata wanaume pia duh
 
Unataka kujua??? Nunua carolight cream na maji yake, changanya na mchemsho mliopowa wa jiki, blue band, na mafuta ya break kidogo. Jiandae kupata cancer ya ngozi hapo baadaye.
 
<br />
<br />
Na baada ya wiki nafikiri atakuwa kansa ya ngozi.
 
habari zenu he jamani wanawake wanatia mkorogo wanakuwa weupe kama michael jackson mpaka wanatisha dah hivi wanatumia nini jamani hebu na sie tujue siri hawaogopi kuathirika
<br />
<br />
SI UMESHASEMA SIRI,SASA UNATAKA KUJUA SIRI!SIRI NI SIRI HAITAKIWI KUJULIKANA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…