Mkorogo unapobagua

Bukoba na Karagwe ni wahanga sana wengi wao ma(she)
 
Ni moja ya vitu vinavyoshusha hadhi ya mwanamke agrrrrr!
Kwa nini hiyo pesa isingenunuliwa matunda tu?
 
Mimi nimeona Kikuku mguu wa kushoto..lakini pia kabinuka flan hivi...nadhani hapo huulizi kuhusu Yale mambo yetu..
 
Mkorogo umefanya mwili uonekane kama drafti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…