Hawa watakuwa ni Watanzania tu maana siku hizi hata Wakongo wamepunguza kama sio kuachana na ujinga huu wa kujichubua.Kwani hao sio wazungu?
Tumekuwa wadhungu sasa
Aiseee
Braza upo, heshima yako
Nipo kaka, mambo vipi??
Poa mkuu nakuja pm
tumekuwa wadhungu sasa