Mkorogo umekubali

Mkorogo umekubali

Hao wakikutana na watu waliosoma nao shuleni mpaka aapie "haki ya Mungu" mie fulani.

Wanawake wasiojiamini.

Nawewe ungekuwa unajiamini hiyo hijab nawewe ungeivua ili tuone kama una mvi au kipara
 
Papai bivu limesingiziwa... Tatizo wakipata ajali hawashoneki... wanakuwa extremely ugly...
 
Mmmh! Jamani hata hawatizamiki mara mbili mbili.

Ndio mana siku zote tunaambiwa black is beautifull.
 
Watoto wasiowajua wanaweza kulia watahisi hao wamevaa mask
 
Back
Top Bottom