wanawake wengi wa mkoa wa mbeya haswa maeneo ya tunduma, wanapenda kufanya hivi sijui kwanini, uwezo wa hela mdogo, au elimu, au ni maamuzi tu. mimi inanikera sana. mtu usoni anakuwa milinda, miguu na mikono peps
Ila kusema ukweli Nimetokea kuwachukia sana wadada au wanawake wanaotumia mkorogo yaani huwa najisikia kichefuchefu nikiwaona pia wavaao mawigi wananikera sana.....