Mkopo

Mkopo

Pablo sanchez

Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
24
Reaction score
3
Mie nimesoma private lakin nwaka jana baba aliachishwa alipo kua anafanya kazi ni Congo na barua alizo achishwa nazo zpo kwa lugha ya kifaransa,ndo izo pia nliziweka kwenye maombi yangu, sasa sijui niwe na matumain ya kupata au la. naomben ushauri
 
Subiri kwanza watoe hayo majibu kwanza
 
Inategemeana na coz uliyochaguliwa, wapo wengi waliosoma private na wanamkopo kikubwa courz iwe n priority kweny TCU guide book
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom