Wadau naomba kuuliza. Mimi ni mfanyakazi wa serikali,nahitaji mkopo. Nahitaji kujua mfumo wa makato wa CRDB na NMB. Kuna mtu alinimbia CRDB wanatumia reducing system na NMB wanatumia direct system(ila hakuwa na majibu ya kueleweka kuhusu tofauti zao ). Je hii mifumo inatofautiana vipi na faida zake zikoje.