Mkopo wa sola

Mkopo wa sola

Prince mrema

Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
61
Reaction score
72
PATA TV YA STARTIME NA SOLA KWA MKOPO.
Tunatoa tv flat-screen inch 24 yasola yenye kingamuz cha ndan kilicholipiwa miaka miwili BURE+dish.solar panel ynye W30 na betr ynye uwezo wa 90W.inayoweza kuwasha taa4 na kuendelea. Uwezo wa kuchaji cm kutumia radio na mengine Mengi.TUNATOA KWA MKOPO.NA UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO NDAN YA MIAKA MIWILI.au kulipa kwa wakati mmoja. Bei zetu ni nafuu sana.. Tuwasiliane 0766507273.Tupo Dar Bamaga
 
Kama Kuna picha itapendeza zaidi
 
Yaani panel 30 watts betry 90 watts aisee acha matani ww au umejisahau kakaa...nnachojua panel ndo inatakiwa kuwa kubwa
 
PATA TV YA STARTIME NA SOLA KWA MKOPO.
Tunatoa tv flat-screen inch 24 yasola yenye kingamuz cha ndan kilicholipiwa miaka miwili BURE+dish.solar panel ynye W30 na betr ynye uwezo wa 90W.inayoweza kuwasha taa4 na kuendelea. Uwezo wa kuchaji cm kutumia radio na mengine Mengi.TUNATOA KWA MKOPO.NA UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO NDAN YA MIAKA MIWILI.au kulipa kwa wakati mmoja. Bei zetu ni nafuu sana.. Tuwasiliane 0766507273.Tupo Dar Bamaga
Hizo bei nafuu ndio ungeweka hapa tuone.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom