Mkopo wa riba nafuu

Mbeya vipi, mpo? Na kama hampo, iweje sie wa mbali ?
 
Mbona hujaweka masharti ya mkopo? Au kuwa tu Mtanzania ni kigezo tosha kupata mkopo?
 
Ungekuwa muwazi kwa kuweka masharti yote ya kukopwa na vile vile hizo dakika 15 ni baada ya kukamilisha masharti yenu
 
riba ni % ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…