King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,891
- 95,201
Arusha mnapatikana pia? Mna Tawi? Nataka laki 5,dhamana ni nini?SEGUIN CREDIT INVESTMENTS
Inapenda kuwataarifu watumishi wa idara zote za serikali kuwa inatoa mikopo ifuatayo ndani ya dakika 15 tu:
a) Mikopo ya dharura
b) Mikopo ya mtaji au kupanua biashara
c) Ada za shule.
- Mikopo inayotolewa ni kuanzia Tsh 100,000 hadi 1,000,000 kwa riba nafuu sana.
- Muda wa marejesho ni kuanzia miezi mitatu hadi sita.
Fika ofsini kwetu Keko Dar au njoo PM kwa maelezo zaidi
Pm for more information
Kauli hizi ni za wafanyabiashara wa Tanzania pekeeHuna haya wewe nimekujibu pm ipi au umetumwa? [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Kwanza hatukopeshi walima vitunguu
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Jaribu kuwa na majibu mazuri kwa wateja wako ata kama wanakujibu vibaya jua unaonyesha hapa ni watu wa namna gani mpo kwenye hiyo kampuni
Kauli hizi ni za wafanyabiashara wa Tanzania pekee
Ndio tupo Arusha pia hakikisha wewe ni mwajiliwa unaelipwa mshahara kupitia bank kwani hiyo ndio dhamana yako. Hatupokei kadi za gari wala hati za nyumbaArusha mnapatikana pia? Mna Tawi? Nataka laki 5,dhamana ni nini?
Ni kweli ila sometimes watu wanaudhi mpaka unajikuta unajibu vibaya kitu ambacho si kizuriKauli hizi ni za wafanyabiashara wa Tanzania pekee
PoaMambo?
Ndio tupo Arusha pia hakikisha wewe ni mwajiliwa unaelipwa mshahara kupitia bank kwani hiyo ndio dhamana yako. Hatupokei kadi za gari wala hati za nyumba
Kosa sio lako bali aliyekuandaa kibiashara.Ni kweli ila sometimes watu wanaudhi mpaka unajikuta unajibu vibaya kitu ambacho si kizuri
Ningependa kukusaidia kaka lakini hujakidhi vigezo vya kampuni na mimi ni mwakilishi tu sio bossDa sijaajiriwa ni mjasiliamali,nauza mkaa kwa jumla,mpo arusha sehemu gani niwaone mje kuangalia store yangu ya mkaa ilipo na sehemu nayofanyia biashara ndogo ndogo za genge.
Vipi mteja akionyesha kukebehi biashara yako inabidi umvumilie tu?Kosa sio lako bali aliyekuandaa kibiashara.
Mteja wako humjui so usidharau mtu.
Pia unapimwa kwa kauli zako lazima uwe mpole na MWEREVU kujibu.
Unaweza kumjibu kwa upole na hekima hadi aone aibu.Vipi mteja akionyesha kukebehi biashara yako inabidi umvumilie tu?
Okay basi kama mnaangalia walioajiriwa,mnatutenga sisi wajasiliamali.Ningependa kukusaidia kaka lakini hujakidhi vigezo vya kampuni na mimi ni mwakilishi tu sio boss
Promo au matangazo? Mhh makubwaYani ukiona biashara ya hela ina promo mmh?
Nashukuru kwa semina fupiUnaweza kumjibu kwa upole na hekima hadi aone aibu.
Kitendo cha kumjibu vizuri kitakuongezea credit kwa wasomaji kiasi cha kutamani wakuungishe.
Kauli huza biashara sana
10%Riba kiasi gani?
Unatakiwa uwe mfanyakazi ulieajiliwa sio uliejiajiliMbona hujaweka masharti ya mkopo? Au kuwa tu Mtanzania ni kigezo tosha kupata mkopo?