Mkopo wa riba nafuu

Mkopo wa riba nafuu

beauty in me

Senior Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
161
Reaction score
134
SEGUIN CREDIT INVESTMENTS
Inapenda kuwataarifu watumishi wa idara zote za serikali kuwa inatoa mikopo ifuatayo ndani ya dakika 15 tu:
a) Mikopo ya dharura

b) Mikopo ya mtaji au kupanua biashara

c) Ada za shule.

- Mikopo inayotolewa ni kuanzia Tsh 100,000 hadi 1,000,000 kwa riba nafuu sana.
- Muda wa marejesho ni kuanzia miezi mitatu hadi sita.

Fika ofsini kwetu Keko Dar au njoo PM kwa maelezo zaidi

Pm for more information
 
Hawa jamaa washenzi unapewa 1 M unarejesha may be laki tatu kila mwezi kwa miezi mitano! Unapigwa riba 50%. Unakuwa unatajirisha watu!
Kuna dada mmoja hapa alikuja kutangaza mkopo, hadi page ya nne kagoma kutaja kampuni na riba kakomaa mwenye shida aje pm.... Nikaenda pm nako hola kagoma kutaja ananiambia njoo whatsapp nikaona isiwe shida hii riba lazma ni asilimia elf moja
 
kujua riba ni muhimu kuliko mkopo wenyewe..

kuna bank nyingine ukichukua hapo mkopo...lazima ufilisike au ubaki kuwa hapo mtumwa wa kudumu..

kujua riba ni muhimu sana kwa mkopaji...au mjasiriamali
 
Atakuwa tapeli huyu.

Back
Top Bottom