don g dou
Member
- Jul 6, 2017
- 73
- 9
Habari Za Sahizi Wana Jamvi Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu Kama Nilivyo Eleza Hapo Juu Nahita Mtu Au Taisisi Itakayo Nikopesha Power Tiller Kwa Ajili Ya Kupanua Kilimo Changu Kwa Mwenye Kujua Copany Tasisi Au Mtu Anae Weza Kunikopesha Naomba Anisaidie Nawasirisha