Mkopo wa mshahara

kuna cku mtandao unazingua sana lkn anytime unapata hata salary itoke leo ww ukope kesho sawa tu
 
Hivi hairuhusiwi kuomba hyo advance zaidi ya mara moja ukichukua mkopo?
M nlichukua sikukuu
 
hakuna bank nyingine tofauti na nmb wanaotoa hiyo salary advance
 
Mbona kwangu wanasema huduma hii itakujia hivi karibuni. Cjawahi kufanikiwa hata siku moja
Ni kweli inategemea na ofisi unayofanyiakazi. Hata Mimi miezi mi3 iliyopita ilikuwa ikiniletea ujumbe huo lakini mwezi uliofuata mambo yakawa tayari. Nafikiri kuna makubaliano lazima wayafikie kwanza na ofisi husika kabla hawajaanza kutoa huduma.
 
Mi nasubili tarehe 13 nikope maana saivi nishakata lingi kuna mkuu nliona kakopa sikukuu iyo si ilikua tarehe 1
Hivi hairuhusiwi kuomba hyo advance zaidi ya mara moja ukichukua mkopo?
M nlichukua sikukuu

Salary yako inapitia bank gani? Mkuu maana mi ni NMB
 
Sijawahi sikia hii kitu. Nina miaka 13 ya utumishi. Inakuwaje naomba mnipe maujanja please.
 
Back
Top Bottom