NMB App mnatufelisha

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
2,745
3,610
Nimekua ni mteja mzuri wa NMB hasa hii app ila sasa kila ukijaribu kulipa kwa mutandaoo inakuja vizur ila inagoma mwishon hela inakatwa ila inakua haifik.

Mfano lipa namba, na hii service yenu ya salary advance mbona hamsem nikibofya pale ndio nakua nimeomba au nataka kujua. Ukienda kwenye App bonya salary advance itakuja vizuri inasema request salary advance.

Sasa hio batan ni mtu saa nyingine hautak mkopo ila unapenda ujielimishe,na pia sio kama mtu anataka salary advane ndio mumpe yote labda mtu ana shida na laki tu.sasa akibonyeza tu batan "request salary advance "si kama mnataka achkue yote, ila lipa namba muiweke.
 
Mimi waliniliza wakati nimelipia king'amuzi Cha dstv. Pesa hazikufika dstv na dstv wakiulizwa wanasema pesa zilirudishwa nmb. Nina miezi miwili sasa hiyo pesa waliyosema itarudi ndani ya saa 24 haijarudi au ni hayo masaa 24 ndiyo hayafiki?
Nawalia timing wote wawili nipate uhakika wa alaiyekula pesa zangu nimuanzishie ligi nami nitajirike kizembe! Mwenye mwanasheria mjuvi aniazime tukapige mpunga!
 
Mim juz nimeenda dukan lipa namba nimeweka vizur.inakuja option ya tigo/zantel au ukiscan qr code lakin hailipi. Sijui it wao hawajui. Nenda sehem ukikuta qr code mfano visa unaweka pay by visa una scan wap haitak sasa unashangaa app ya maana kama hii inakuwaje?
 
Back
Top Bottom