Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,217
- 3,112
Ringi zishakata kitambo...dah!!bora watuwezeshe tu
Huko wap mkuu unapokaaaSijawahi sikia hii kitu. Nina miaka 13 ya utumishi. Inakuwaje naomba mnipe maujanja please.
IMEKUBALI, ILIKUWA KWENYE MAREKEBISHO! SASA IKO POANani kafanikiwa kupata salary advance loan? Mwezi huu?
Naona NMB chali, vyuma vimekakamaaa
Leo ni tarehe 7 mshaanza kuulizia mkopo wa salary advance
crdb pia tunatoa salary advance kwa wafanyakazihakuna bank nyingine tofauti na nmb wanaotoa hiyo salary advance
Acha longo wewe crdb tumeanza kula salary advance toka october 2017. Nmb tangu waanze hawana hata mwezi...hakuna bank nyingine tofauti na nmb wanaotoa hiyo salary advance
Hata mie nilipataga hii shida nikapiga huduma kwa wateja wakaniweka sawa. Sasahv sina mawazo hela ndogo ndogo navuta tuMbona kwangu wanasema huduma hii itakujia hivi karibuni. Cjawahi kufanikiwa hata siku moja