Mkopo Wa Milioni 10 Unahitajika urgently

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,030
3,908
Habari wandugu;

Nahitaji Mkopo wa shilingi milioni kumi tu za Kitanzania.

Kwa ambaye anaweza nisaidie tafadhali njoo PM

Asante
 
Aisee watu wagumu na wanyimi sana na pesa zao.....mimi nilikuwa nahitaji milioni 7.5 (million saba na nusu tu) ila huwezi amini nimeambulia maswali tu.....

Na hata hawa wakopaji wa mtaani wengi wao wanatoa riba kali sana kwa muda mfupi ni kama wanalenga kukudhoofisha......
 
huend

a hawana mkuu sio wanyimi
 
kuna mkopo unatolewa riba 25% yani ni tabu tupu Kama tatizo linavumilika jikaze, tu mkuu ama uza assets zako mikopo inaleta umaskini sana please kuwa makini
 
Back
Top Bottom