Mkopo wa mil 35 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkopo wa mil 35

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CHE GUEVARA-II, Jul 28, 2011.

 1. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Wadau, habari zenu?
  Naomba mnisaidie kunijulisha ni nani anaweza kunikopesha 35,000,000 nitamrudishia 1,500,000 kila mwezi kwa miezi 30.
  Sina gari, sina nyumba, sina kiwanja.

  Nina kazi kama permanent employee katika International company, napata take home 4,000,000/= Tshs.
  Kazi nimeanza mwezi huu.
  Natumia Standard Chartered Bank, wanaweza kunikopesha tu endapo kampuni yangu itakuwa ilishaweka mkataba nao (unfortunately kampuni yangu haitumii bank hii), japo kampuni yangu ilisema inaweza kuipatia details bank ninayopitishia mshahara kuwa mimi ni mwajiriwa wake.

  Ni fanyeje? I need some money soon!

  Nataka ninunue beach plot Mtwara.
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ukiwa sirious rudi tena mana kwa take om ya mshahara huo huitaji kutafuta hzo 35m mkuu
   
 3. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Ebwana, I mean it. Najua nikiwa na-save 3,500,000 kwa mwezi naweza kuipata hiyo 35M. Lkn atizo ni kwamba naihitaji mapema mno hiyo 35. Moe precisely before the end of August, 2011.Please mwenye msaada kwa hili naomba sana!Thanks.
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Stanchart watakupa mkopo huohuo kulipa kwa miezi 36 makato yakiwa 1,265,000 kwa mwezi...never minding utafanyia nini....karibu
   
 5. T

  Technics Member

  #5
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu ukipata barua ya ofisi kwako nakuipeleka StanChart, mkopo unatoka kirahisi tu, sema wewe unakimbia riba.
   
 6. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Siyo hivyo kaka, kuna mfanyakazi wa SCB aliniambia siwezi kupata mkopo kama kampuni yangu haijafanya makubaliano na Bank - kwamba inabidi iingie contract kuwa wafanyakazi wake wanaweza kuwa wanakopeshwa na SCB (haikuniingia akilini), nd'o nikaona niwaulize GREAT THINKERS na if possible mnipatie alternative. Wadau mliochangia inaonesha mnawafahamu vizuri hawa SCB, mnaweza kunipatia contact za mmoja wa wafanyakazi wa SCB. Nataka next week niwazukie ofisini, if possible nionane na Branch Manager. Lakini nahitaji mchango wenu zaidi na hata alternatives zingine. (sikimbii riba, huoni nime-promise kutoa 45,000,000 in total). I salute you all!!!!!!!!!
   
 7. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ivi kuna bank ambazo unaweza kukopa bila mshahara wako kuwa channeled from your company's bank account? Kama ipo mnijulishe pia, maana mimi pia nimekwama! Na ni namna gani nifuate ili nipate mkopo wa bank
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Mtafute huyu staff wao........Salmin 0713-688851
   
 9. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Hi Camaraderie, nashukuru sana kwa kunipatia namba ya simu, nitamtafuta. This is another step towards achieving my goal(s). Thanks so much. You are all more welcome!!
   
 10. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br /
  work hard man and take time too vitu vizuri havitaki haraka jipange kwanza
   
 11. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nahisi kama mshkaji ame panic, na ukichukua mkopo kwa panic lazima uangukie pua, kwasababu unakuwa kama umekulupuka bila ya kujipanga.
  but all the best, hope utafanikiwa
   
 12. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Duh, mshikaji mawazo yako ya ajabu kweli (how can you judge someone while you neither know him nor understand his plans?) Ulitaka nikope then ninunue gari? Use your common sense bwana unashusha hadhi ya GREAT THINKERS. You would have better kept quiet [the more the person speaks the more (s)he exposes his/her ignorance]


  Camaraderie nashukuru sana n'shaongea na Salmin, 'hope mambo yataenda vizuri kwa kuwa kuna masuala itabidi afuatilie ofisini kwanza kesho atakapokuwa kazini, pia next wk nitapita Dar ofisini kwao SCB.
   
 13. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Angalia pia Stanbic bank, ili uweze kulinganisha Interest rates mwenyewe.
   
 14. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Nashukuru kwa ushauri wako (nitajaribu kuwa-check). Kuna aliyekuwa mwanafunzi wangu wa tuition (A-Level) - 10 years ago - anafanya kazi hapo Stanbic Bank, nitam-call anipatie details. Thanks.
   
 15. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  sija judge unaenda kufanyia nini hiyo hela wala sijakushauri ukafanyie nini, according na ulivyoandika, mtu anayetumia common sense anajua ni jinsi gani ulivyo panic, ungekuwa na long term plan huo mkopo ungeuomba toka january au mwaka jana, coz m 35 si kitoto kwa mtanzania wa kawaida(only visadi anaweza kuita ni vijisenti).
  ninachoweza kukwambia ni kwamba ujipange
   
 16. L

  LAT JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  return on investmen ya hiyo beach plot iko vipi
   
 17. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #17
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  22nd, asante!
   
 18. u

  ureni JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Sawa hiyo hela ningeweza kukupatia lakini tatizo ni security ya hizo hela,kama ulivyosema huna kitu,sasa ntakupaje hiyo hela na umesema ndio kwanza umeanza kazi I mean uko kwenye probation,sasa hebu nijibu maswali yafuatayo,
  1.Ikitokea umetimuliwa kazi na mie nimeshakupatia hiyo hela itakuaje.
  2.Sisi ni binadamu ikitokea siombei lakini ikitokea umetangulia mbele za haki hatima ya hela yangu itakuaje?
  Hiyo kwa ujumla ni ngumu sana mtu kukupa hela yake bila security yoyote,ungekua na nyumba,kiwanja kinachofanana na hiyo hela hapo sawa tunaweza fanya biashara.
   
 19. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Huyo mdau hapo juu ndio na mimi nimewaza hivo hivo!hata bamk huwa wanawaza hivo hivo!ndio maana wanataka contract na mwajiri wako!kaonane na jamaa wa AZANIA bank wataweza kukusaidia1ila wao hawahitaji mkataba na majiri just salary ipitie kwao!wanahofu wakikupa hela halafu ukatimkia marekani watapata vp hela zao?

  Hebu fikiria ni wewe ungekua na hizo hela ungekua unazitoa kirahisi rahisi tu hivo?bila security wala nini?
   
 20. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Baada ya kufaidika na michango ya wanajamvi, nawe lipa fadhila bsi utifaidishe.....hizo beach plots Mtwara zinaendaje, wengi wetu tuna dream za kuown beach plots!
   
Loading...