Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Sasa buku tano tu ndio ulalamike hivyo?
Buku tano sio hela 🙂.. kwendraa huko we Konda
Sasa buku tano tu ndio ulalamike hivyo?
Haitoshi hata kununua chai kavu serena hotel.Buku tano sio hela 🙂.. kwendraa huko we Konda
Ulitapeliwa??? Pole sanaMie kuna mtu kanitapeli hapa Jf sina hamu.
All the best lakini.. uaminifu muhim
Fanya hivyo shemeji
Haitoshi hata kununua chai kavu serena hotel.
Ni-pm nikupeleke siku moja.haaaaa Serena ndio wapi???
mmmh haya...ila huyu uliye mkopi!!!!!!
Ni-pm nikupeleke siku moja.
mmmh haya...ila huyu uliye mkopi!!!!!!
Mkuu ukipata wa kukukopesha na mimi nikopeshe elfu hamsini nikalipie pango nitakulipa mwisho wa mwezi....
mimi ninayo tatizo litakua kwenye dhamanaHabari yenu JF members, nina shida ya laki 5 mwenye nayo naomba anikopeshe hata kwa riba nitashukuru sana. Nitairudisha baada ya 2wks.
Jitolee kumsaidiaUjue kuna kitu kimoja.
Maishani mwangu huwa naogopa sana, kudai au kudaiwa.
Na mara nyingi imenitokea sana, ninapowakopesha watu, basi ujue kulipana inakuwa usumbufu.
Kwahiyo kuepukana na usumbufu kama huo.
Nimejiwekea utaratibu mmoja, iwapo kama nitajitolea kukusaidia basi ni bora tusaidiane kuliko kudaiana.
Inasaidia sana, kichwani mwako inakuwa haipo ni kama ile unayotumia.
Cha mwisho, Kuna baadhi ya Binaadam tunapenda sana kusaidiana lakini tatizo linakuja watu wengi si waaminifu.
Mtu anaweza kukuambia ana shida fulani, kumbe ni uongo wa kutaka kujipatia Pesa kiulaini.
Mleta mada, sijakulenga wewe usijisikie vibaya.
Kwenye mada yako nimepata upenyo wa kuzungumza hali halisi ya kinachoendelea kwenye jamii zinazotuzunguka.
Binaadam tumekuwa tunaogopana linapokuja suala la Pesa, kiasi kwamba hata yule mwenye shida ya kweli watu wanashindwa kumsaidia, kutokana na watu wasio waaminifu kuwaharibia wenzao.
Nakutakia kila la kheri, ufanikishe kutatua tatizo lako
Kuna Mdau hapo juu ameshajitolea kumsaidiaJitolee kumsaidia
Mtu chake.Sasa buku tano tu ndio ulalamike hivyo?
Hujani-pm mbona.Nasubiri majibu ya Pm yangu....,