dhamana Ni gari au vitu vya ndani kama tv ILA inatakiwa iwe Ni Mali yako halali na riba Ni aslimia 30 kwa,mwezi mmoja otherwise uaminifu Ni kitu muhimu kingine uwe na kitambulisho kwa ajili ya sisi kubaki na kopi kama,kumbukumbu katika kudai ILA hii huduma ipo Dar es,salaam