Mkopo wa fedha

Mkopo wa fedha

Fanya yote mkuu ila kama unatumia Visa card usije kuwapa hao jamaa security card number sjui unanielewa , zile namba tatu za mwisho nyuma ya card

Wataikopea card yako kila sehem kwa vile tayar ushawapa full details za kwako

Mwisho wa siku utakuja kuskia are you aunt cash ?

U are under arrest !!
 
Back
Top Bottom