Mkopo wa fedha.

Wana jamii bado sijapata msaada hadi muda huu.
 
Upo mkoa gani kama upo dar na shida ni ugonjwa kweli na upo uhakika wa kurudisha nipo dar tuwasiliane takupa Bila riba, vyeti tachukua km dhamana tu binadamu hawaamini,nitafute
Utarudisha hio hio uliyoikopa bila riba
Sio vizuri jamaa, mbona jamaa anasema bado hajapata msaada, watu wakiona ulichoandika wanajua jamaa tayari ameshatatua shida yake, Sio vizuri kuandika jambo kama huna uhakika nalo.
 
Sio vizuri jamaa, mbona jamaa anasema bado hajapata msaada, watu wakiona ulichoandika wanajua jamaa tayari ameshatatua shida yake, Sio vizuri kuandika jambo kama huna uhakika nalo.
Labda hajaingia tena kwenye forum,nilim PM lakini sikujibiwa.

Mimi nipo Dar kama alivyoandika yeye ila hakuna mawasiliano.
 
Labda hajaingia tena kwenye forum,nilim PM lakini sikujibiwa.

Mimi nipo Dar kama alivyoandika yeye ila hakuna mawasiliano.
Hakutakiwa kuandika kama hakua na uhakika, ukizingatia umesema ni shida ya ugonjwa.
 
Hakutakiwa kuandika kama hakua na uhakika, ukizingatia umesema ni shida ya ugonjwa.
Dah mkuu nina shida,kwenye familia tupo watatu tumekubaliana kuchanga kila mmoja 200,000TZS ili asafirishwe toka kijijini hadi Dar ili apelekwe Muhimbili namimi sina kitu kwa sasa japo nategemea mwisho wa mwezi ila mimi ndio nakwamisha kutatua tatizo.
 
Bora uuze au kuweka rehani tv

Vyeti haviaminiki cku hizi
 
nitumie pm boss maana mi sipati option ya kupm
 
Upo mkoa gani kama upo dar na shida ni ugonjwa kweli na upo uhakika wa kurudisha nipo dar tuwasiliane takupa Bila riba, vyeti tachukua km dhamana tu binadamu hawaamini,nitafute
Nimekupa like kwa ujumbe wa kiungwana ulioandika, kumbe hata bado hujamsaidia jamaa mbona?
 
Dah maisha haya yana mapito magumu sana omba yasikukute.
 
Labda hajaingia tena kwenye forum,nilim PM lakini sikujibiwa.

Mimi nipo Dar kama alivyoandika yeye ila hakuna mawasiliano.
Pole sana ndugu me sina tu uwezo lkn ukiweka namba nitajisachi kivyovyote
 
mkuu weka namba tukuchangie chochote mbona unaweka usiri. ndio maana watu wanapata wakati mgumu kukuamini. usiri/privacy ktk shida hii unayoieleza hapa sio pahala sahihi ikizingatiwa UTAPELI umekithiri zama hizi. wachachw wakijaliwa kujawa na moyo wa utu na uamuzi wa kupoteza km. michango ileeeee potelea mbali utaambulia hicho kidogo. we kazana na pm utaishia kutangatanga
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…